Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Ngeli haipandi?Acha utani mkuu!Si daktari yule lakini?HahahahahaaaLinge haindipa
Sijui kama unaelewa hata unachopinga kwa kweli. Una maana unataka aende ulaya akaongee kiswahili na wenyeji wake! Hata hao wachina unaowasema, wakienda ulaya ni lazima waongee lugha ya wenyeji wao, au kama lugha hiyo haipandi basi hupata msaada wa wakalimani.Acha ushamba wewe, hata wachina, warusi, wafaransa, wajerumani, wanaongea lugha zao siyo kingereza
Dr. Shika [emoji13] [emoji13] [emoji13].Aende akaongee luga gani wakati hata kiswahili kinampiga chenga
Mkuu usiniwekee maneno mdomoniNgeli haipandi?Acha utani mkuu!Si daktari yule lakini?Hahahahahaaa
Acha ushamba wewe, hata wachina, warusi, wafaransa, wajerumani, wanaongea lugha zao siyo kingereza
Nimecheka sana.Mkuu usiniwekee maneno mdomoni
Halafu hizo lugha za kifaransa, nk mbona ndiyo nchi zetu za Afrika tunazitumia kama official language?Sio ushamba mzee zile ndo national language zao na ndizo zinazotumika kwenye mitaala yao ya elimu form kindergarten to university level,tofauti na sisi ambao national languages ni Swahili na English
vilevile tafsiri ya yeye no rais wa wanyonge ni pana, huenda anawaandama matajiri ili mwisho wa siku tuwe wanyonge wote abaki mbabe peke yake na ukwasi juuNeno KUTUMIKIA WANANCHI naona sasa linatumika ndivyo sivyo...
. Hivi msafara mmoja unagharimu shilingi ngapi za walipa kodi masikini?
. Hivi hana wawakilishi wa kumsaidia kazi za kutumikia wananchi?
Maswali yangu ni mengi sana... Ngoja tu nisiulize mengine
Kwani Raisi wa Urusi anaongeaga lugha gani?Aende akaongee luga gani wakati hata kiswahili kinampiga chenga
So kichaa wetu ana akili sawa na yule mzee wa miaka ya 60? Kweli safari hii tumepatikanaInawezekana Rais kuongoza nchi vizuri tu bila kwenda nchi za mbali. Mfano mzuri ni Jomo Kenyatta, Rais wa kwanza wa Kenya.
Labda wengi hamfahamu, lakini Rais Jomo Kenyatta alikuwa hapendi kupanda ndege. Baada ya kumaliza masomo yake Uingereza na kurudi Kenya, aliacha kupanda ndege. Mikutano ya wakuu wa Afrika Mashariki alikuwa anakwenda kwa gari siku zote.
Kuna miaka ya nyuma safari ya Waziri Mkuu kwenda Marekani iligharimu nusu bilioni. Watu walilalamika sana.
Mjue kwamba fedha nyingi sana zinaachwa kutumika kwa safari na kuelekezwa kwenye miradi ya maendeleo kipindi hiki.
Mkiona vyaelea mjue vimeundwa. Jiwe hatumii fedha vibaya kwenye safari za nje. Hazina tija. Keep it up. Kitaeleweka tu.
[emoji13]Aende akaongee luga gani wakati hata kiswahili kinampiga chenga
Sasa kwa nini mbunge hatatui hizo kero ilhali anasifiwa kwa ubabe wake ?Maafisa wake wameficha mabango yenye kero za wananchi baada ya kugundua kuwa kero za wananchi wa Tarime ni nyingi kupitiliza