Rais Magufuli aeleza kwanini hasafiri kwenda nje ya nchi

There is a logic here;

Sasa huko ulaya kufanya nini wakati wenye nchi wako hapa na wamamsubiri awahudumie??
 
So kichaa wetu ana akili sawa na yule mzee wa miaka ya 60? Kweli safari hii tumepatikana

Jomo Kenyatta alikuwa kiongozi mwenye akili nzuri na shupavu. Aliiwekea Kenya misingi mizuri ya maendeleo.

Kuanzia 1967 hadi 1975 tulipokuwa tunakazania kuuwa shule binafsi, Kenyatta alikuwa anazunguka Kenya akijenga shule kwa mtindo walioita "harambee".

Kenya leo ukubwa wa bajeti yao ni zaidi ya mara mbili ya bajeti ya Tanzania. Hii inatokana na mwanzo mzuri aliouweka Jomo Kenyatta. Si haki kumdharau. Jiwe akiwa na akili kama Jomo ni kitu kizuri.

Rais akiacha kusafiri hovyo hovyo nje ya nchi taifa linapona matumizi yasiyo na tija.
 
JPM AMETOKA KWA MWENYE ENZI MUNGU!
Ubarikiwe sana rais wetu wa Tanzania!
Long may he reign JPM walahi!
That’s all
 
There is a logic here;

Sasa huko ulaya kufanya nini wakati wenye nchi wako hapa na wamamsubiri awahudumie??
Well said!
Kuna matahira kibao kwenye huu uzi walahi!
Hawana clue mtu mweupe ni nani na nguvu zake!
Yaache yabaki na ujinga wao sisi tutengeneze pesa tu walahi!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…