Rais Magufuli aeleza sababu 13 za kumfukuza kazi Mwigulu Nchemba

Si kazi nyepesi kama inavyoonekana... Hayo ni maeneo magumu, unawezaje kusema ndicho kumbe sicho.. Unapotaka kuchunguza kwa nini mzabuni hajatekeleza wajibu.. Unagundua kumbe mzabuni ana watu chungu nzima nyuma yake, ambao unakuta pengine ni wateule au wanasiasa wakubwa, watoto wa viongozi.. Unakumbuka Richmond? Kuna siasa na biashara hapohapo.. Ni Kazi ngumu, si kwamba Mwigulu hakuwa na utashi... Mwanasiasa anashindwa kufanya maamuzi, Lugola naye ni mwanasiasa, ingawa hana malengo sana na siasa za juu... Hata mkulu mwenyewe, hataki kwenda front mwenyewe anataka mtu mwingine afanye ili yeye amalize... Tega nikutege ... Lugola atahitaji ufahamu wake binafsi na je kama ana uthubutu wa kuharibu nyumba yake mwenyewe... Majibu yake yatachukua muda sana, na pengine yasipatikane kwake.
 
Damu za watu zitaendelea kumlilia hadi atakapotubu
 
Hivi vikao vya baraza la mawaziri kazi yake ni nini hasa?

Unawezaje kusifia IGP ukamwacha waziri? Halafu kwa upande mwingine kumuhukumu waziri kwa kosa la RPC? Mimi sijaelewa hizi sarakasi hapo. Nielewesheni tafadhali.
 
Mbwa hawezi kujing'ata mkia wake
 
Kuna watu walishaanza kuzusha kuhusiana na waraka wa KKKT, hapa kila kitu kipo wazi.

wasiolitakia mema taifa letu, bado wanaendelea kutafuta namna ya kutufitinisha lakini hawatafanikiwa.

Bishana pia na hiyo picha. Kama sio sababu, iweje aliyesimamishwa na mwigulu awepo mapokezi ya waziri mpya
 
Kilimo ni kazi au si kazi nakumbuka juzi kati hapa kumetolewa vibali vya wakulima raia wa nchi jirani kuja kujilimia kipindi cha msimu wa kilimo.
 
mimi tokea ni mjue sijawahi kumuelewa hata kidogo.bora kapumzishwa
Hapa tupo pamoja hata mm huwa cmwelewi na nikikua nikipita barabarani kando kando unakutana na sehemu zenye mawe makubwa kuna maandishi yalikua yanasomeka "mwigulu rais wetu 2015" nikawa nawaza anakua rais kwa potential gani aliyo nayo afadhari hata amepumzika
 
Mimi nasubiria kuona issue ya lugumi ikatavyofanyiwa kazi

Ova
 
Porojo tu. Yule mmama aliyeandika/saini waraka wa vitisho kwenda KKKT amerudishwa lini kazini?! Na amerudishwa na nani?!
Pia kuna zoezi dhidi ya P.Z.lililoshindwa....
 
Hivi suala la mauaji ya watu kiholela,kushambuliwa watu,kuokotwa maiti kwenye viroba,utekwaji n.k sio mambo ya Mwigulu?.Nahisi huko pia alishindwa maana wahusika hawajakamatwa
 
Kwamba rais alichagua mtu mzembe hivi kuwa waziri inaonesha rais mwenyewe naye ni mzembe.
Ukiwa pocho darasani haimaanishi mwalimu nae pocho. Pengine original yako ni pocho tu ata akufundishe.

Rais ametumia busara kumpa muda ajifunze lakini ameonesha kushindwa na kutoweza kushughulikia wizara yake ndipo akaona enough is enough.

Kila mmoja akifanya makosa kazini hutamani bosi wake ampe another chance.

Wacheni unafiki
 
Kazi ya kuongoza watu serikalini si kazi ya kujifunzia kazini kama umesenja.

Mpaka hapo hujaelewa ama unapuuza unyeti wa kazi ya mtu kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani katika nchi kama Tanzania.
 
Mwacheni apumzike na familia yake jamani!
 
Kazi ya kuongoza watu serikalini si kazi ya kujifunzia kazini kama umesenja.

Mpaka hapo hujaelewa ama unapuuza unyeti wa kazi ya mtu kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani katika nchi kama Tanzania.
Hakuna mahala nimesema kiwa amefunzwa kazini. Wala mfno wangu haumaanishi ivo.

Wewe umeishia kumlaumi rais kwa kuendelea kumueka Mwigulu na amechelewa kumtimia kazini, ndo nikakutolea mfano kuwa saa nyingine tatizo sio la rais bali ni la Mwigulu. Alichofanya rais ni ktumia busara kwanza na sio kumtimua tu. Alitakiwa ajitathmini na rais ameona ameshindwa kujitathmimi after evertthing
 
Kilichobaki wananchi tumfukuze mwenyekiti wa baraza la mawaziri. Tuanze upya. Huu ujinga uliofanyika 2015 unatu cost big time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…