Rais Magufuli aeleza sababu 13 za kumfukuza kazi Mwigulu Nchemba

Rais Magufuli aeleza sababu 13 za kumfukuza kazi Mwigulu Nchemba

Sababu moja wapo ambayo naona ya Mwigulu kutolewa ni Lissu. Viongozi walipoona kwamba jamaa ni msingida mwenzake, anajua kilichofanyika lakini hajafanya chochote na ni Waziri wa Mambo ya Ndani. Na sababu kubwa ni kupenda madaraka.

Hii ilitisha sana viongozi kiasi kwamba wanaogopa mtu anayependa madaraka kiasi hicho maaana anaweza kufanya chochote. Mtu mwenye roho ya hivyo watu watamwogopa na hakuna atakaye taka kukaa karibu. Sasa umeishia wapi mzee na auibu zote je umepata nini zaidi kwa kutosema lolote kwa Lissu
 
Ana mengi ya kusema, lakini sasa atafanyaje....kwani amechoka utamu wa ugali!!
 
Ninja....ninja....ninja....

Tik tok...muda unayoyoma. Huna hata mwaka ofisini kichwa kinataka kuliwa...tik tok
 
.
tapatalk_1550675467601.jpeg

Jr[emoji769]
 
Ukitaka kupima kuwa rais amechoka, hafikirii nje ya wigo, ni haya anayoyafanya.
1. Alijigamba kuwa mtu akiharibu kazi hamuhamishi, anafukuza.
2. Alipotengua nafasi ya Mwigulu alimsema sana kwa kuwa incompetent.
3. Leo anampa wizara ya Katiba.
Amechoka, hana jipya, amekata tamaa.
 
Ukweli usio na kificho ni ccm Kuna watu wengi wasiojielewa mpaka inampa wakati mgumu maghufuli wa kuchagua mawaziri ndiyo maana anajikuta anateua walewale aliowafukuza mwanzo
 
Back
Top Bottom