Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuelewa sana bwana mdogo 😀 😀 😀Aisee!! Sisi wengine ni "Verified User" kama alivyo Pascal Mayalla mabandiko mengine tutaishia kusoma tu na siyo kuchangia!!
Mimi nasema hivi , " SIONGEZI NENO "Ukitaka kupima kuwa rais amechoka, hafikirii nje ya wigo, ni haya anayoyafanya.
1. Alijigamba kuwa mtu akiharibu kazi hamuhamishi, anafukuza.
2. Alipotengua nafasi ya Mwigulu alimsema sana kwa kuwa incompetent.
3. Leo anampa wizara ya Katiba.
Amechoka, hana jipya, amekata tamaa.
mbona umechelewa sana kujua mkuu !yaani huu uteuzi ni proof tosha Magufuli anateua watu kwa wale wanaomsifu tu na sio wenye uweledi,we as a country are doomed.
Mwigulu ni mchumi, unampeleka katiba na sheria. HUKU NI KUISHIWA PUMZI NA KUFIRISIKAWaziri wa katiba na sheria atakua Mwigulu Nchemba, habari ndio hiyo!
Ulichoandika hapo ni ngonjera tu..
JF si ya kitotoLive long JF.
We kweli kiranga...Sasa ya Jana sijui utasemaje Mungu Wangu!Kwamba rais alichagua mtu mzembe hivi kuwa waziri inaonesha rais mwenyewe naye ni mzembe.