Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Kama unakumbuka juzi mh rais alisema "nukuu"toshekeni na vyeo vyenu, unakuta mtu ana cheo fulani halafu anaenda kugombea tena cheo .mwisho.

Hii kauli itaondoka na wengi.
Hii Kauli haimhusu Makonda , la sivyo hata yeye anaweza hasirudi Magogoni
 
Hivi huu ubunge wa mwaka huu mbona watu wana shobo nao sana!!!
Kama 20155 alibahatisha mjomba, nawenyewe wanajaribu bahati,wasanii mashoga waiza unga, watangazaji, mameneja, bodaboda wote lazma watest bahat yao,

Tunapoelekea lazma mnara wa babel uanguke wavurugane
 
Pongezi kwa Rais,naona kwa teuzi hizi walio wengi ni watumishi wa umma na wamekua promoted kama kanuni zinavyotaka,sio ile ya kutoa kada huko na kumpa ukurugenzi.
 
Yani BASHITE awe waziri!?? Em shirikisheni Bongo kufikiri.
Bashite sio level zako dogo...utamzidi labda ndevu tu ila mwenzako ni level nyingine kabisa...Kwanza anapush Velar[emoji91]
 
Wenzenu anapanda ngazi nyie mnafikiri kashuka someni alama za nyakati wenye macho aambiwi tazama
 
Yaani
Mkuu wa mkoa DSM,
Karibu tawala DSM
Afisa elimu mkoa DSM
Msemaji wa RC DSM
Wote wameenda gombea ubunge; kweli mwanadamu hatosheki hata umpe Nini,(aliimba mzee makassy)
Wamebet wakiingia mjengoni mambo yatajipa
 
Bhite Bye Bye na Mbwembwe zako.
Ubaya mwingi umewafanyia wapinzani,kamwe hatutakusahau.
Hasa kitendo cha kupga kibao Mzee wariopba,
na Kumbeba Lipumba wakati wa Mkutano mkuu wa CUF wa kumfukuza uwenyekiti na kuteu Mwenye kiti mpya. kuleta fujo
Huyu anaenda kuwa waziri kama hujalitambua uliejue sasa, alichofanya leo ndivyo alivyoambiwa na babaake anaehuskika na kukata majina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…