Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

Hiyo List ya hao mabalozi ngoja aione Sheikh Khalifa Khamis.
 
Congratulations to them... and so especially to Pindi Chana
 
Naona kilio cha aliyekuwa MKUU WA mkoa WA Morogoro bwana Rajabu Omary ruhava kimesikikika
Angalia namba 11...!!
Aliyemlilia magufuri amsaidie yeye ni mtoto wa maskini
yule ni rajabu Rutengwe huyu ruhava nahisi ni mwingine
 
Hii kazi anaifanya kwa ufanisi mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…