Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

Ndio mjifunze kuongeza juhudi za umbea hiko ndio kigezo pekee cha kusogea hakuna anaejali uwezo wenu vijana.
 
Naona kilio cha aliyekuwa MKUU WA mkoa WA Morogoro bwana Rajabu Omary ruhava kimesikikika
Angalia namba 11...!!
Aliyemlilia magufuri amsaidie yeye ni mtoto wa maskini

Nahisi kama umechanganya "madesa", nakumbuka yule aliyetoa kilio mithiri ya " sala ya toba" ni Rajabu Rutengwe.

Huyu hapa akiomba toba
 
Attachments

Naona kilio cha aliyekuwa MKUU WA mkoa WA Morogoro bwana Rajabu Omary ruhava kimesikikika
Angalia namba 11...!!
Aliyemlilia magufuri amsaidie yeye ni mtoto wa maskini
Sio yeye huyo ni kaimu katibu mkuu ccm bara
 
Naona kilio cha aliyekuwa MKUU WA mkoa WA Morogoro bwana Rajabu Omary ruhava kimesikikika
Angalia namba 11...!!
Aliyemlilia magufuri amsaidie yeye ni mtoto wa maskini
Siye. Yule aliyelia ni Dr Rajab Rutengwe. Huyu aliyeteuliwa ni Rajabu Omari Luhwavi naibu katibu mkuu wa CCM bara
 
Naona kilio cha aliyekuwa MKUU WA mkoa WA Morogoro bwana Rajabu Omary ruhava kimesikikika
Angalia namba 11...!!
Aliyemlilia magufuri amsaidie yeye ni mtoto wa maskini

Rajab Luhwavi ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara -Usijichanganye!!
 
Nimeamini nchimbi si mtu wa mchezo mchezo,majungu yote dhidi ya ccm bado anateuliw?
 
Jasusi Nchimbi linawekwa mbali na siaza za Tz
 
Back
Top Bottom