Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

Mbona mkulu hajagusa USA Australia UK Germany Canada Norway etc kwamba huko mambo powa au ni utaratibu?! Nauliza tu nchi za Africa tuuu ndio zilihitaji hii reshuffle au Mimi mgumu kulelewa!?
 
1. Dah! kwa mara ya kwanza sijafurahishwa na teuzi ya mkuu, kuna watu hapo sio smart kivile, na kwa harakaharaka nadhani watatupiwa Afrika na Uarabuni, sehemu ambazo zilitakiwa zifanyiwe mageuzi makubwa kwel kwel maana ndiko zinakopatikana balozi zilizojisahau na kufanya mambo kimazoea, na watu hao akisema tu awapeleke Ulaya na Mashariki ya mbali ndo hawata fit kabisaa!.
2. Kwenye teuzi zijazo ninamuomba Mh. Raisi afumue fumue balozi za Afrika na Uarabuni, ateremke hadi ngazi ya chini ya hizo balozi (afumue mpaka watumishi wakawaida-na pia ajira za balozini kote ziwekwe wazi zaidi).
3. Hili ni ombi maalumu kwa mkuu kuhusu balozi mpya za Korea Kusini na Uturuki, mchango wa hizi nchi kwa miaka ya karibuni kwenye kuleta uwekezaji au biashara umekuwa mkubwa ajabu hivyo basi namuomba Mh. Raisi apeleke mabalozi smart zaidi ili tz tuweze kufaidi zaidi.

Kuna baadhi ya balozi na tamani Mh. Raisi afanye ziara za gafla akajionee mwenyewe
 
Mbona mkulu hajagusa USA Australia UK Germany Canada Norway etc kwamba huko mambo powa au ni utaratibu?! Nauliza tu nchi za Africa tuuu ndio zilihitaji hii reshuffle au Mimi mgumu kulelewa!?
Rudia kusoma vizuri maelezo ya uteuzi
 
Faizafoxy tulia maana tukiwa tunalalama kuhusu mambo mengine huwa unachamba sasa na wew yamekufika- acha mwiba wa kujichoma ukuingie ndio upate akili
 
Naona kilio cha aliyekuwa MKUU WA mkoa WA Morogoro bwana Rajabu Omary ruhava kimesikikika
Angalia namba 11...!!
Aliyemlilia magufuri amsaidie yeye ni mtoto wa maskini

yule anaitwa rajabu rutengwe
 
Una uhakika gani kama hayumo katika hao wateule?
Faiza Foxy ni jina la Jf tuu
Mkuu unanitafutia ban, ni wapi nimesema ameteuliwa au ameachwa? Tuisome 12345
 
Hivi mtu kama Mabumba na Msekela bado wanapewa nafasi wakati walipaswa wapumzike? Yaani above 60 bado wanang'ang'aniwa tu. Vijana hakuna nchi hii?
 
Naam, umenena vyema kabisa.

Unatuhakikishia tunayoyasema miaka yote, kumbuka tu, hazidishiwi mwenye kudhulumu isipokuwa hasara.
Hizi shutuma za kidini ni ujinga. Nilijifunza hata kama mtu siyo dini yangu basi utakuta ni kabila langu,jirani yangu, rafiki yangu, mpenzi wangu, mwalimu wangu,shemeji yangu au classmate wangu cha msingi awe ni mtanzania na ana vigezo basi.
 
Chadema mnajurikana ni kikundi tu cha kupinga pinga kila jambo, lakini mnaendelea kuisoma namba, hakuna ruzuku za vyama, DJ wenu mpaka aone rangi zote.

Mi sio mwanachama wa CHADEMA na michongo yao kibao siukubaligi (kama maandamo maandamano na yale mafujo ya bungeni) lakini kwa teuzi za leo za mabalozi Mh. Raisi hajanikosha kivile, nina mashaka na baadhi ya mabalozi kama wataweza kuvutia biashara, watalii na uwekezaji kwa kiwango kikubwa, anyway ngoja nione.
 
Back
Top Bottom