Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

Hivi Umoja wa Mataifa upo Geneva?
Someni Kituo cha kazi no 15 mnisaidie
UNOG ni moja ya ofisi kubwa za umoja wa mataifa duniani. Ni ya pili kwa ukubwa baada ya ile iliyopo New York.
 
Naam, hatujasoma, Nyie mliosoma mmekifanya nini zaidi cha maana zaidi ya ambao hatujasoma?

Ukija kwenye siasa, tunawika
Ukija kwenye uchumi, tunawika
Ukija kwenye Biashara, tunawika
Ukija kweye Diplomasia, tunawika
Ukija kwenye uungwana, tunawika

Tunachosikitika mnafanya khiyana halafu yote hayo hamuyajuwi mnachojuwa ni ufisadi tu na kuididimiza nchi.
Dini umeletewa na muarabu lakini mjuaji hatari. Dini za wenzetu, tuwaachie dini zao. Upumbavu mtupu unaouonyesha!!
 
Congratulations to them... and so especially to Pindi Chana

Huyo mama jana nilimuona Bora-Chang'ombe kule Temeke ana bashasha akichapa kizungu na mzee mmoja, sijui ndo ilikuwa mazoezi. Kwa kweli hongera yake.
 
Mnakwenda kuwakirisha Taifa..Kafanyeni kazi kwa maslahi mapana ya nchi.Mmeaminiwa,mmethaminiwa..Msimwangushe alie wateua.Wekeni utaifa mbele..
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hivi yule aliyeambiwa atapangiwa kazi nyingine vipi?
 
Hivi yule aliyeambiwa atapangiwa kazi nyingine vipi?
Nyerere alimteuwa Salim kuwa Balozi wetu Egypt akiwa na miaka 21 tu
Sijui kwa nini vijana wa ccm waliosoma diplomasia hawapewi hizi nafasi? Uzoefu watapata lini?
 
Hivi Umoja wa Mataifa upo Geneva?
Someni Kituo cha kazi no 15 mnisaidie
The United Nations Office at Geneva (UNOG) is the second-largest of the four major office sites of the United Nations (second to the United Nations Headquarters in New York City
Besides United Nations administration, it also hosts the offices for a number of programmes and funds such as the United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD), the United Nations Office for the Coordination of Humanitarian Affairs (OCHA) and the United Nations Economic Commission for Europe(ECE).
 
Hatimaye Ubalozi wa Israel umefunguliwa....Thanks to JPM, I hope scholarship zitapatikana tukasome zetu military science

Yer Tanzania itanufaika sana tu, mfano ni kwenye huo ulinzi na usalama lakini usisahau issue za maji, kilimo, construction, tourism na industries. Nchi kama Marekani, na kwa hapa Afrika Ethiopia na Kenya wanawatumia vyema hao ma genius.
 
Mungu mwema. Nani aliwambia mtu akiitwa Omar lazima awe Mkristo? Au mtu akiitwa James lazima awe Mkristo? Hivyo majina yasiwadanganye!
 
Hii siyo listi ya kwenda Kuhiji Makka au Yerusalemu
Hizi dini zingefutwa tukaunda yetu ya kati, tungejumuisha uafrika wetu, ukristo tulokodishwa na uislamu tulolazimishwa, kwanza ndivyo kiukweli watanzania tuishivyo sijui kuliweka wazi tunaogopa nini. Tanzania mkiristo pure na muislamu pure sijawahi kumuona mie. Wachunguze kwenye ibada zao za mazishi, ndoa, utabibu, vyakula, mavazi, vinywaji nk tunamix hzo dini na za mababu wetu. Ungewekwa mkakati hata wa kijasusi, TIS tuziunganishe. Wanachokiangalia hapo ni asili tu ya majina eti ndo dini, akina Mohamed na Ramadhani kibao tunagongana nao kwa kitimoto, na akina John na Petro wameoa wake wengi na wanatoa taraka, achilia mbali wenye dini tofauti na majina yao pia. Kama taifa itatusaidia kujenga utaifa wetu, au tufute matumizi ya majina haya ya kigeni, tuendelee tu na akna masanja, mkude, mwampeta, pinda na akna ngoyai tu. Wanatusumbua.
 
SASA HAO NDO ANAOWATETEA SIO WANYONGE WA NCHI HII ANAOWANYIMA AJIRA.
 
Kwanini mijadala ya udini inakua sana hapa nchini?

Kuna siku Watanzania mtajuta kwa mijadala hii.
 
Naona kilio cha aliyekuwa MKUU WA mkoa WA Morogoro bwana Rajabu Omary ruhava kimesikikika
Angalia namba 11...!!
Aliyemlilia magufuri amsaidie yeye ni mtoto wa maskini
Mkuu yule ni Rajabu Rutengwe.
 
Back
Top Bottom