Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

Teh teh sababu maalum ? Hata Nchimbi naye kachero tu anaweza pelekwa huko
Yule hajielewi kachero gani unakuwa upande wa Chama, Pia ana kashifa ya Kielimu! hivyo hatutaki siasa na propaganda kwenye masuala ya msingi hasa katika maendeleo ya Taifa!
 
CCM n ileile..mbona majina ni yaleyale yaliyoshindwa kuleta maendeleo miaka ya nyuma...ruhusuni akili mpya zifanye kazi..hao wanaenda kutalii tu uko
 
Daah nikajua nitaona damu changa,ili tukuze vipaji kwenye diplomasia.
 
Naona kilio cha aliyekuwa MKUU WA mkoa WA Morogoro bwana Rajabu Omary ruhava kimesikikika
Angalia namba 11...!!
Aliyemlilia magufuri amsaidie yeye ni mtoto wa maskini
Ni Dr. (PhD) ingawa alilia kama form 2.
 
Kwa nini Moses Machali ameachwa licha ya kukubali kukatwa mkia,bora kula mtama na maji kuliko mvinyo na nyama za kukaanga katika uharibifu upitao.
 
Laana inaendelea.. Tumerogwa tumemkosea muumba sasa tunaadanishwa.
Tulipewa janga hili ni janga
 
Rudia kusoma vizuri maelezo ya uteuzi
Nimesoma nakuelewa ndio maana nimeuliza. Amesema balozi zingine zitabakia kama zilivyo 'swali langu hizi balozi zilizoachwa hazina mapungufu? Soma uelewe nini nauliza?
 
Back
Top Bottom