Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

Huyu Mh Slyvester Masele Mabumba siku mbili tatu nyuma aliteuliwa na Mh Rais kuwa Makamu Mwenyekiti wa TCRA na sasa ameteuliwa kuwa Balozi hii inaonesha kuwa Mkuu yupo na udhaifu kwenye uteuzi wake
 
Naona kilio cha aliyekuwa MKUU WA mkoa WA Morogoro bwana Rajabu Omary ruhava kimesikikika
Angalia namba 11...!!
Aliyemlilia magufuri amsaidie yeye ni mtoto wa maskini
Sio huyo, huyu si alika NKM Bara?
 
Kuna namba unazisoma taratibu kabisa
Na bado tumbua tumbua nasikia huko Nssf wale masalia ya dau yameanza kutumbuliwa wakiwemo vyeti feki na walokuwa wanahujumu makusanyo darajani kwa kutia pesa mfukoni kama walivyofundishwa huko vijiweni,Dawa itawaingia taaaaaatiiiiibu
 
Hapana si kweli, aliyekufundisha hivyo kakujaza ujinga.

Issa, Mussa, Yusuf, Yakoub, Suleman...Adam.

Jee, wote hao ni Waarabu?

Faiza Leo funga mjadala watu waende kusali makanisani ili wabarikiwe zaidi na teuzi ziwaendee zaidi wewe nenda kijiweni kapige zoga mungu atakuona
 
Matola leo umeongea kwa lahaja za kiungwana sana


Even though ulichosema sikubalian nacho ila nimeipenda approach yako
Waislamu wengi wanaojitambuwa watoto wao wanawapeleka kwenye seminary za Wakristo

Kuna Wakristo wananyimwa nafasi kujiunga na Mariana Bagamoyo lakini wanapewa nafasi waislamu wenye uwezo wa kiakili kuwazidi wale wakristo, hili jambo kwenu ni ndoto kuwa na upendo wa aina hii, bado kauli mbiu yenu ileile ndugu katika imaani.

Siku mkiukataa ujinga huu ndio mtakuwa mmejikombowa kifikra.
 
Ni
Hivi Umoja wa Mataifa upo Geneva?
Someni Kituo cha kazi no 15 mnisaidie
Ni sahihi kabisa. Mashirika mengi ya UN makao makuu yako Geneva. Ni kama UN ina makao makuu sehemu mbili ulimwenguni USA na Europe
 
Naam, hatujasoma, Nyie mliosoma mmekifanya nini zaidi cha maana zaidi ya ambao hatujasoma?

Ukija kwenye siasa, tunawika
Ukija kwenye uchumi, tunawika
Ukija kwenye Biashara, tunawika
Ukija kweye Diplomasia, tunawika
Ukija kwenye uungwana, tunawika

Tunachosikitika mnafanya khiyana halafu yote hayo hamuyajuwi mnachojuwa ni ufisadi tu na kuididimiza nchi.
Swadakta Ila hawatokubali Ukweli huu maana Ukweli mchungu
 
Hapa angempa January Makamba ubalozi maana uwaziri umemshindwa na hasikiki tena,kafichwa lakini pia anapingana na serikali
 
Bakwata walimpelekea majina na kateua wote isipokuwa la Shehe Ponda lineachwa
 
Hapana si kweli, aliyekufundisha hivyo kakujaza ujinga.

Issa, Mussa, Yusuf, Yakoub, Suleman...Adam.

Jee, wote hao ni Waarabu?

Siongelei uislamu pekee, hata awe mkristo kwangu ni upumbavu kuifanya dini itawale akili yako, unashindwa kufanya reasoning kisa dini za waarabu na wazungu.

Ulichokiandika post ile inaonyesha utumwa ulionao kupitia dini uliyoletewa na mwarabu.
 
Back
Top Bottom