Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

kawaambie kabisa leo kanisan
Kampen za udin zitaendelea mpka dhulma hiz zitakapoisha
Hivi unavyopigania hivi ugali wa mtu ni nani anayepigania ugali wako kiasi hiki?
Nikuulize tu kama kateuliwa Muhammad Rashid kuiwakilisha Tanzania USA wewe unanufaikaje na maisha yake huko Washington DC?

Kaenda kuiwakilisha Tanzania kwenye nchi ya kikafiri inayochagiza mapenzi ya jinsia moja pengine nae Muhammad Rashid ni mtu wa totoz na mitungi club sana wewe kama muislamu swafi huo uteuzi wake unakunufaisha wapi wewe na hiyo dini yako ?
 
Siongelei uislamu pekee, hata awe mkristo kwangu ni upumbavu kuifanya dini itawale akili yako, unashindwa kufanya reasoning kisa dini za waarabu na wazungu.

Ulichokiandika post ile inaonyesha utumwa ulionao kupitia dini uliyoletewa na mwarabu.


Ni kwa sababu tu dini kwa Mwenyeezi Mungu ni Uislam.

Hilo ni vigumu sana kwako kulielewa.

Mifumo ya kibinadam hata siku moja haiwezi kufaulu.
 
Naam, hatujasoma, Nyie mliosoma mmekifanya nini zaidi cha maana zaidi ya ambao hatujasoma?

Ukija kwenye siasa, tunawika
Ukija kwenye uchumi, tunawika
Ukija kwenye Biashara, tunawika
Ukija kweye Diplomasia, tunawika
Ukija kwenye uungwana, tunawika

Tunachosikitika mnafanya khiyana halafu yote hayo hamuyajuwi mnachojuwa ni ufisadi tu na kuididimiza nchi.
Lini Ukawa waliongoza nchi au unawasema mabosi wako wa ccm?
 
Matola leo umeongea kwa lahaja za kiungwana sana


Even though ulichosema sikubalian nacho ila nimeipenda approach yako
Ukitaka kupata picha nzuri wafuatilie viongozi wa kiserikali ambao ni waislamu na waislamu wenye maisha ya class flani hivi watoto zao wanasoma shule za aina gani utapata jibu.

System kuu inayotumiwa na shule za seminary ni kupokea watoto wenye uwezo kiakili tu na hiyo ndio siri yao kuu.
 
Lini Ukawa waliongoza nchi au unawasema mabosi wako wa ccm?


Mbowe na NHC vipi? tena huyu hakuanzzia yeye kuifisadi NHC, alianza baba'ke.

Mtei? Umesahau alikuwa nani?

Lowassa? Au siyo nyinyi mliotuaminisha kuwa ni fisadi? Nikukumbushe?
 
Ni kwa sababu tu dini kwa Mwenyeezi Mungu ni Uislam.

Hilo ni vigumu sana kwako kulielewa.

Mifumo ya kibinadam hata siku moja haiwezi kufaulu.
Mifumo ya binadamu haifaulu ila hapa unalalamika wanaoteuliwa ni wakristo

Sasa nyie ambao ni dini ya Mwenyezi Mungu inakuaje tena Mungu kawaacha mburuzwe na hawa ambao dini zao sio za Mwenyezi Mungu ?

Huu si ujuha kiwango cha standard gauge ?
 
Mifumo ya binadamu haifaulu ila hapa unalalamika wanaoteuliwa ni wakristo

Sasa nyie ambao ni dini ya Mwenyezi Mungu inakuaje tena Mungu kawaacha mburuzwe na hawa ambao dini zao sio za Mwenyezi Mungu ?

Huu si ujuha kiwango cha standard gauge ?


Huelewi unachokiongea, si kosa lako.

Hata Firauni aliyasema maneno kama yako. Yuko wapi leo hii na utawala wake uliishia wapi?
 
Huelewi unachokiongea, si kosa lako.

Hata Firauni aliyasema maneno kama yako. Yuko wapi leo hii na utawala wake uliishia wapi?
Wewe sio mzima ,ni kweli sielewi ndio maana nikauliza ,naomba unipe majibu kwanini nyie ambao ni dini ya Mwenyezi Mungu ,huyo Mungu akubali mburuzwe na hawa wakristo ambao dini zao sio za Mwenyezi Mungu ?
 
Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
Maelezo
Usiniletee huu upuuzi mimi siamini kwenye dini zenu hizi za waarabu na wazungu

Nijibu swali langu ,Umesema uislamu ni dini ya Mwenyeezi Mungu , kwa maana kwamba hawa wengine dini zao sio za Mwenyezi Mungu ,sasa ni Mungu gani anakubali dini yake iburuzwe na Wakiristo ?
 
Pamoja na Basila Mwanukuzi kusoma Degree ya Diplomacy na kurudi ccm lakini katoswa kwenye uteuzi wa ubalozi...[HASHTAG]#Kunywamajidada[/HASHTAG].
 
Bakwata haina kinyongo chochote na serikali hii na inashukuru kwa kujengewa makao makuu.

Kwao teuzi za waislamu hazijawahi kuwasaidia kitu zaidi ya familia za wateuliwa, kwanza uzoefu unaonesha kadiri mwislamu anapopata maisha mazuri ndio anazidi kukaa mbali na uislamu hachangii ujenzi wa msikiti wala madrasa na kuswali ndio kabisa hataki kusikia yeye na familia yake

Ukitaka kuamini leo jumapili tembelea makanisani uone vibopa wa kikafir walivyojaa makanisani na magari yalivyojaa kanisani mwisho sikiza sadaka iliyopatikana leo tu.

Ukifanya research hii huku ukiwa na mawazo huru kuanzia leo utaacha rasmi kuwaza kwamba makafir na watu wa dini ya haki wako sawa na utaacha kuwalinganisha.

Ndio maana Bakwata kwa kulijuwa hili huwa wanaridhika tu pale wanapopata kitu cha manufaa kwao na si waislamu, waislamu hawana manufaa kwa dini yao zaidi ya ulalamishi tu, haya sasa msikiti tu wKuswali wenyewe wanataka msaada.

Ni tofauti na makafir, hata vile vikanisa vya mfukoni wanajenga wenyewe makanisa yao.
Hebu fikiria kivingine, muislam anapopata nafasi standard ya familia yake pia inapanda anaweza hudumia watu wengi zaidi hata kama ni wafamilia yake maana yake ni kuna jamii ambayo ni familia yake itapanda kiasi hivyo kunyenyua hali zao ila kama wanao chaguliwa ni wakristo tu hapo kuna jamii itabaki maskini na kuna jamii itaendelea kuwa na ukwasi
 
kama kweli anafanya haya yote kwani masikini wenzangu wamemkosea nn mbona hakuna watu wanao ajiriwa?
 
Back
Top Bottom