Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Mbona sioni balozi wa Tanganyika nchi Zanzibar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nawe acha kudandia visivyo kuhusu ,unajua nimetoka wapi na Faiza mpaka kumuuliza hayaMbona unahangaika na kitu ambacho kiko wazi?
Hakika Allah..Mungu huwapa mitihan viumbe wake kwa kuwajaribu kwa mambo mbali mbali ikiwamo kuwapa madaraka...utajiri...ufakiri...maradhi..na hata vifo...
Wewe na ndug zako mnasema kuwa yesu ni mungu...sasa kama kweli hilo unaloliamin namimi nakupa jibu kwa style ya kukuuliza swali...ni mungu gan anaeweza kukubali kupewa kichapo na wanadam wake hadi kufikia hatua ya kuuwawa?
Mungu anaweza pigwa na viumbe wake kweli?
Hili nililitegemea.......mimi sio wa upande huo lkn kweli kipindi hiki hali so shwari.Sheikh Khalifa, pitia na huku.
HamjasomaaaaaaHili nililitegemea.......mimi sio wa upande huo lkn kweli kipindi hiki hali so shwari.
Sisi hatuna muda wa kulalamika kwa vitu vya kipumbavu kama hivyo mmepewa haki ya kuchinja kwa mujibu wa dini yenu kwenye machinjio ya serikali tumenyamaza.
Mmepewa majengo ya kodi za wote tanesco mmefanya chuo chenu tumenyamaza
Mnajengewa msikiti mkubwa kwenye ziara ya kitaifa ambayo pia imegharamiwa na kodi za wote tumenyamaza
Mambo ni mengi sana mnapendelewa waislamu watu wala hata hauongei serikali iliwajaza Bunge la katiba, nssf, udom, nk lakini wala hatuongei.
Kwanza nyie ndio mtaji wa ccm mashehe wenu ndio vinara wa kueneza chuki za kidini kwenye siasa nyakati za uchaguzi wanawambia mchague ccm vyama vingine ni vya kidini alafu mnakuja kulialia hapa wakati mmemchagua wenyewe mtaisoma number tu.
Wewe nawe acha kudandia visivyo kuhusu ,unajua nimetoka wapi na Faiza mpaka kumuuliza haya
Halafu mimi sina dini
Hayo maswali muulizane nyie mtakaoenda kuonja pepo na ma bikira sijui 70 na kupewa nguvu ya kulala na wanawake mia sijui nini nini
Au waulize wagalitia habari za Yesu
Hapa sawa ni kazi juu ya kazi yeye ndio kila kitu yeye ni binge mahakama na ni mtoa vibali vyote cabinet haifanyi chochote bila saini yake haha hii ndio serikali mpaka baba aseme [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Hayo yote anafanya. Anashindwa kusaini kibali cha ajira!?
Wewe mungiki acha kunisumbua nilichoongea nimemaliza kama hujakielewa kisome mara tatu kutwa.Tuisome namba?
Hivi baina ya waislam na wakristo ambao wako serikalin hiv sasa wanaoisoma namba ni kina nan?
Then mnajua nyinyi wagalatia ni watu wa hovyo sana most of you
Kwaiyo unataka kuja na hoja kwamba huko serikalin waislam wanapendelewa siyo na nyinyi hampendelewi?
Very stupid...unaongea vitu ambavyo ukweli wake uko waz na unaujua sijui ili iweje...
Nachojaribu kukuambia wewe muimba kwaya ni kwamba
Enz kikwete yupo madarakan nyinyi mlikuwa ana udin na kuwapendelea waislam kwenye teuzi zake ili hali ukweli ni kwamba alikuwa anawapa nafasi kubwa nyinyi na mkazid kuwa vibaka...
Swali langu ni kwamba kipind kile mlitoa povu sana kikwete ni mdini..
Sisi sasa tunawauliza hiki anachokifa ya huyu muimba kwaya mwenzenu Juma Poor Manager tuite nin?
Kama upendeleo na udini unaweza pita kias hiki?
Ha ha haaSheikh Khalifa, pitia na huku.
Hivi Umoja wa Mataifa upo Geneva?
Someni Kituo cha kazi no 15 mnisaidie
Alionesha WAZIWAZI hampendi Nkuu wakati wa uchaguzi.....Inawezekana kabisa akaenda Nigeria..Nchimbi anatupwa mbali na siasa za Tanzania
Hapana. Hazijasahaulika.Zinaanza hizi kwanza nyingine zitafata Januari 2017...maskini ajira zetu zimesahaulika
Teuzi za Nafsi....Teuzi zitaisha lini sijui! Hatimae Nchimbi wamemkumbuka.
profesa Chris Maina Peter yuko hapo Geneva kwa kitengo cha UN cha Haki za Binadamu..Geneva ndipo ilipokuwa makao makuu ya UN,hata hivyo bado ni makao makuu ya mashirika ya UN
Thubutu,jaribuni muone, mnadhani nchi hii ni Somalia wanapowachekea chekea,ungekuwa na busara japo kuona yanayoendelea,usingeandika haya,hatujaribiwiHii nchi Bila kuunda alshaababuuu ya tz tutaburuzwa na kuteswa mpaka basi, hiyo ndo Imani yangu tangu 2010, siamin Katika ukombozi kupitia siasa