Kwani Hata hivyo uwiano wa wasomi kati ya wakristo Na waislam ukoje hapa TZ ? Je ni almost Sawa ? Au dini ipi iko Na wasomi wengi? Historia inaonesha elimu ililetwa Na wamissionary ambao Ni wakristo , Watu walikuwa wakihimizwa kwenda Shule Kwa wa missionary ambako Na ukristo ulikuwa ukifundishwa, Kwa jamii za waislam kulikuwa na mwitikio mdogo ama haukuwepo Kabisa sababu walihofia kwenda kubadilishwa dini Na kuwa wakristo Na kuepuka kwenda kulishwa nyama za nguruwe n.k! Kumbuka Kwa miaka mingi wakristo walikuwa wanaendelea kusoma hawa kusimama kuwasubiri waislam waamue kuanza kwenda Shule ! Sasa waislam walipoanza kuja kustuka Kumbe elimu dunia ni jambo muhimu tayari pengo kubwa lilishajitokeza kati ya wasomi wa Kristo Na wasio wakristo hali hiyo ime endelea hadi Kesho Na hakuna namna hiyo gap itaweza ondoshwa! Kwa hiyo haina haja ya kimlaumu Mkwezi wakati nazi imeliwa Na mwezi! Pia haina haja ya kumlaumi Dobi wakati weusi wa kaniki Ndiyo Rangi Yake ! Unless niambiwe kuwa ratio ya dini hizo mbili Kwa wasomi Ni 50 by 50 hapo Hata Mimi nitaona kuna dosari ktk teuzi!