Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

Hamjasomaaaaaa,tunaenda kwa uiano kimadarasa


Naam, hatujasoma, Nyie mliosoma mmekifanya nini zaidi cha maana zaidi ya ambao hatujasoma?

Ukija kwenye siasa, tunawika
Ukija kwenye uchumi, tunawika
Ukija kwenye Biashara, tunawika
Ukija kweye Diplomasia, tunawika
Ukija kwenye uungwana, tunawika

Tunachosikitika mnafanya khiyana halafu yote hayo hamuyajuwi mnachojuwa ni ufisadi tu na kuididimiza nchi.
 
majina yale yale tu ngoja niendelee kusubiri huku nikinakiri namba mana nimechoka kuisoma
 
Naam, umenena vyema kabisa.

Unatuhakikishia tunayoyasema miaka yote, kumbuka tu, hazidishiwi mwenye kudhulumu isipokuwa hasara.


Mvumilivu hula mbivu... vumilia weweee..!!
 
dah naona kaka nchimbi ameula,pongezi kwake mkuu
 
Naam, hatujasoma, Nyie mliosoma mmekifanya nini zaidi cha maana zaidi ya ambao hatujasoma?

Ukija kwenye siasa, tunawika
Ukija kwenye uchumi, tunawika
Ukija kwenye Biashara, tunawika
Ukija kweye Diplomasia, tunawika
Ukija kwenye uungwana, tunawika

Tunachosikitika mnafanya khiyana halafu yote hayo hamuyajuwi mnachojuwa ni ufisadi tu na kuididimiza nchi.


Sasa kama mnawika kwenye Siasa, kelele za nn..? mbona huridhiki..?

Mnawika kwenye siasa za nchi gani..? kidogo elezea
 
mwenzetuy said:
Navikaoavyaachama Nyie mliosoma mmekifanya nini zaidi cha maana zaidi ya ambao hatujasoma?

Ukija kwenye siasa, tunawika
Ukija kwenye uchumi, tunawika
Ukija kwenye Biashara, tunawika
Ukija kweye Diplomasia, tunawika
Ukija kwenye uungwana, tunawika

Tunachosikitika mnafanya khiyana halafu yote hayo hamuyajuwi mnachojuwa ni ufisadi tu na kuididimiza nchi.
Wewe ni mwenzetu wa kijani kwa nini usiongee kwenye vikao vya chama!
 
Kuna ofisi Geneva hata naibu katibu mkuu wa UN ofisi yake ipo Geneva.

Hapana. UN ina ofisi miji mbali mbali. UN Geneva in ofisi kuu kanda ya Ulaya. Ila Geneva kuna Makau Makau ya mashirika mengi ya UN (agencies)......UNHCR, ILO, WHO, WMO, UNCTAD, ITC, nk. Balozi yeyote akiteuliwa jukumu lake kubwa in kuiwakilisha nchi kwenye haya mashirika.

Hadhi yake in sawa na Ofisi za UN Nairobi ambayo ndo ofisi kuu kanda ya Africa (usichanganye na UN Ofisi Addis Ababa). Mkuu WA UN Geneva Ana Cheo cha Under Secretary General. Same Nairobi nk.

Naibu katibu mkuu wa UN ofisi zake ziko New York.
 
Back
Top Bottom