Wakenya wa chatoWakenya wanatamani tuwaazime Magu kwa muda
Itakuwa maji kwa bi mdashi wakoRais Magufuli ni maji mtayatumia tu hata myakatae vipi utayatumia tu.
Kenya nchi nyingine uwezi kuilinganisha tanzania.Bajeti ya nchi hiyo ni sawa na Bajeti ya Tanzania +Rwanda.Kenya inatakiwa kuingizwa ktk nchi zenye viwanda vya kati/uchumi wa kati.
Wee una mtindio wa Ubongo mradi mkubwa kama huu huwezi ukatekelezwa kwa fedha za ndani sabb unachukua muda mrefu kukamilika halafu kurudisha gharama kubwa zilizotumika nazo huchukua miaka mingi mfano angalia sasa kila sekta muhimu afya, Elimu, maji, na hata serikali yenyewe kwa ujumla zipo taabani ni Kama zimebomoka. Kwanza mradi wenyewe una ufisadi wa kutisha na una siri kubwa ndani yake na wanaosimamiia ufisadi ni waTz wenzetu ambao baadhi yao walipelekwa Turkey na wengine wapo huko acha ujinga kutetea usivyovijua kama Wakenya wanamuona anafaa wamchukue sasa hivi akawaumizeWakizungumzia deni la taifa la nchi yao ambalo limekua mara dufu baada ya ujenzi wa miundombinu ikiwemo reli ya kiwango cha SGR wakenya wameitaka serikali yao iache kukopa na badala yake itumie fedha zake. Mkopo wa ujenzi wa reli hiyo umetolewa na China.
Source BBC Dira ya Dunia
My take; Rais Magufuli anatoa uongozi wa mfano barani Afrika!
Waganda hawajaanza kujengaUkikopa unauhakika wa kukamilisha mradi. Ni zaidi ya mwaka sasa SGR yao Mombasa -Nairobi imekamilika na wanakaribia Busia mpakani na Uganda. Waganda nao wanakaribia Kampala toka Busia!
Au unataka waseme wanamtaka mwenyekiti wa ufipa akawaongoze.... ungefurahi zaidiWee una mtindio wa Ubongo mradi mkubwa kama huu huwezi ukatekelezwa kwa fedha za ndani sabb unachukua muda mrefu kukamilika halafu kurudisha gharama kubwa zilizotumika nazo huchukua miaka mingi mfano angalia sasa kila sekta muhimu afya, Elimu, maji, na hata serikali yenyewe kwa ujumla zipo taabani ni Kama zimebomoka. Kwanza mradi wenyewe una ufisadi wa kutisha na una siri kubwa ndani yake na wanaosimamiia ufisadi ni waTz wenzetu ambao baadhi yao walipelekwa Turkey na wengine wapo huko acha ujinga kutetea usivyovijua kama Wakenya wanamuona anafaa wamchukue sasa hivi akawaumize
Si afadhali Magufuli anayekopa halafu anajengea miundo mbinu na kufanya mambo mengine yenye manufaa kwa wananchi?Wengine si walikuwa wanazitumia kwa starehe na kujiendeleza wao wenyewe na ndugu zao tuu.Ovyo sana msitukumbushe machungu.Hakuna mahali ambapo nimeona Wakenya wameguswa na jpm kwenye content ya habari yako kama ulivyoeleza kwenye title..
So Wakenya wanafikiri SGR na miundombinu mingine yote inafanywa na pesa za ndani?
Mleta mada u must be at the highest level of your UTAAHIRA.
Budget ya Kenya inalingana na budget ya jiji La Lagos. Budget ya Kenya ni mikopo na itawaghalimu sana huko mbeleKenya nchi nyingine uwezi kuilinganisha tanzania.Bajeti ya nchi hiyo ni sawa na Bajeti ya Tanzania +Rwanda.Kenya inatakiwa kuingizwa ktk nchi zenye viwanda vya kati/uchumi wa kati.
Bwashee mbwiga mimi nimewanukuu wazalendo wa Kenya!Wee una mtindio wa Ubongo mradi mkubwa kama huu huwezi ukatekelezwa kwa fedha za ndani sabb unachukua muda mrefu kukamilika halafu kurudisha gharama kubwa zilizotumika nazo huchukua miaka mingi mfano angalia sasa kila sekta muhimu afya, Elimu, maji, na hata serikali yenyewe kwa ujumla zipo taabani ni Kama zimebomoka. Kwanza mradi wenyewe una ufisadi wa kutisha na una siri kubwa ndani yake na wanaosimamiia ufisadi ni waTz wenzetu ambao baadhi yao walipelekwa Turkey na wengine wapo huko acha ujinga kutetea usivyovijua kama Wakenya wanamuona anafaa wamchukue sasa hivi akawaumize
Mbowe alikuwa anazurura tu ulaya na mkewe Nkya kwa posho ya bunge hadi wenzie wakamlipua bungeni!Si afadhali Magufuli anayekopa halafu anajengea miundo mbinu na kufanya mambo mengine yenye manufaa kwa wananchi?Wengine si walikuwa wanazitumia kwa starehe na kujiendeleza wao wenyewe na ndugu zao tuu.Ovyo sana msitukumbushe machungu.
Hahahaa....... Umeua!Au unataka waseme wanamtaka mwenyekiti wa ufipa akawaongoze.... ungefurahi zaidi