Rais Magufuli agusa mioyo ya wakenya sasa wataka Serikali yao itumie fedha za ndani kujenga miundombinu!

Rais Magufuli ni maji mtayatumia tu hata myakatae vipi utayatumia tu.
 
Ndiyo maana sisi hatukopi pesa na wala hatupokei misaada.Hahahaaaa!
 
Kenya nchi nyingine uwezi kuilinganisha tanzania.Bajeti ya nchi hiyo ni sawa na Bajeti ya Tanzania +Rwanda.Kenya inatakiwa kuingizwa ktk nchi zenye viwanda vya kati/uchumi wa kati.

tayari wameshawekwa kwenye uchumi wa kati siku nyingi ndio maana JK naye akaja na mpango wake kufikia uchumi wa kati..

Kufikia uchumi wa Kati unatakiwa uwe na mzunguko mkubwa kama matokeo ya uwepo wa biashara nyingi ambazo zitakuhakikishia makusanyo yasiotetereka, Wakenya wanamzunguko mkubwa sana pale Nairobi na Mombasa ambapo huwezi kufananisha ya mkoa wowote Tanzania ndio KQ inaweza kujaza na kwenda NYC bila shida huku abilia wengi wakiwa wanatokea ndani ya Kenya na sio abiria wanaoconnect ndege..Politics kills Tanzania..
 
Mnampaamba sana makomeo, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza! Makomeo kashindwa!
 
Mwacheni rais wetu afanye kazi, kuna washenzi wachache tu wanamkatisha tamaa, ila kundi kubwa la watanzania tupo nyuma yaketukimsaidia kulijenga taifa kwa pamoja
 
Wakizungumzia deni la taifa la nchi yao ambalo limekua mara dufu baada ya ujenzi wa miundombinu ikiwemo reli ya kiwango cha SGR wakenya wameitaka serikali yao iache kukopa na badala yake itumie fedha zake. Mkopo wa ujenzi wa reli hiyo umetolewa na China.
Source BBC Dira ya Dunia
My take; Rais Magufuli anatoa uongozi wa mfano barani Afrika!
Wee una mtindio wa Ubongo mradi mkubwa kama huu huwezi ukatekelezwa kwa fedha za ndani sabb unachukua muda mrefu kukamilika halafu kurudisha gharama kubwa zilizotumika nazo huchukua miaka mingi mfano angalia sasa kila sekta muhimu afya, Elimu, maji, na hata serikali yenyewe kwa ujumla zipo taabani ni Kama zimebomoka. Kwanza mradi wenyewe una ufisadi wa kutisha na una siri kubwa ndani yake na wanaosimamiia ufisadi ni waTz wenzetu ambao baadhi yao walipelekwa Turkey na wengine wapo huko acha ujinga kutetea usivyovijua kama Wakenya wanamuona anafaa wamchukue sasa hivi akawaumize
 
Au unataka waseme wanamtaka mwenyekiti wa ufipa akawaongoze.... ungefurahi zaidi
 
Hakuna mahali ambapo nimeona Wakenya wameguswa na jpm kwenye content ya habari yako kama ulivyoeleza kwenye title..
So Wakenya wanafikiri SGR na miundombinu mingine yote inafanywa na pesa za ndani?
Mleta mada u must be at the highest level of your UTAAHIRA.
Si afadhali Magufuli anayekopa halafu anajengea miundo mbinu na kufanya mambo mengine yenye manufaa kwa wananchi?Wengine si walikuwa wanazitumia kwa starehe na kujiendeleza wao wenyewe na ndugu zao tuu.Ovyo sana msitukumbushe machungu.
 
Kenya nchi nyingine uwezi kuilinganisha tanzania.Bajeti ya nchi hiyo ni sawa na Bajeti ya Tanzania +Rwanda.Kenya inatakiwa kuingizwa ktk nchi zenye viwanda vya kati/uchumi wa kati.
Budget ya Kenya inalingana na budget ya jiji La Lagos. Budget ya Kenya ni mikopo na itawaghalimu sana huko mbele
 
Wee una mtindio wa Ubongo mradi mkubwa kama huu huwezi ukatekelezwa kwa fedha za ndani sabb unachukua muda mrefu kukamilika halafu kurudisha gharama kubwa zilizotumika nazo huchukua miaka mingi mfano angalia sasa kila sekta muhimu afya, Elimu, maji, na hata serikali yenyewe kwa ujumla zipo taabani ni Kama zimebomoka. Kwanza mradi wenyewe una ufisadi wa kutisha na una siri kubwa ndani yake na wanaosimamiia ufisadi ni waTz wenzetu ambao baadhi yao walipelekwa Turkey na wengine wapo huko acha ujinga kutetea usivyovijua kama Wakenya wanamuona anafaa wamchukue sasa hivi akawaumize
Bwashee mbwiga mimi nimewanukuu wazalendo wa Kenya!
 
Watawezaje wakati hata deni lao kwa ukubwa wake wametakiwa waendelee kukopa mikopo mingine isiyo ya kibiashara ili wailipe?

Wakiweza itakua poa wakishindwa siku wakiwa koloni la mchina tusishangae
 
Si afadhali Magufuli anayekopa halafu anajengea miundo mbinu na kufanya mambo mengine yenye manufaa kwa wananchi?Wengine si walikuwa wanazitumia kwa starehe na kujiendeleza wao wenyewe na ndugu zao tuu.Ovyo sana msitukumbushe machungu.
Mbowe alikuwa anazurura tu ulaya na mkewe Nkya kwa posho ya bunge hadi wenzie wakamlipua bungeni!
 
Back
Top Bottom