Rais Magufuli ahudhuria maadhimisho ya miaka 100 ya mahakama kuu

Miaka mitano hii mahakama zimetenda haki sana wahuni wengi wa chadema wameachiwa huru!
Tatizo sio lugha bali utoaji wa haki. Lugha ni sehemu ndogo sana ya tatizo halisi la hizo mahakama.
 
Naona na madaktari wataambiwa waandike dawa kwa Kiswahili
 
Mbona wakati inaanzisjwa hiyo Mahakama kuu,jina Tanzania halikuwepo.
Russia iliridhi iliyokuwa shirikisho la nchi za Sovieti. Na ili miliki na madeni yake. Imemaliza kulipa madeni hayo. Historia ya Russia inaazia toka kuwepo kwa Soviet na kabla ya Soviet. Tanzania ni hivyo hivyo.
 
Na yeye kemia zake alizosomea aandike kwa kiswahili Atom ni nini, aseme ethromycine kwa Kiswahili. Asichezee profession za watu bana.
 
Leo Magu kampandisha cheo jaji kwa kuwa tuu ameandika hukumu moja kwa kiswahili, ule utaratibu wa kupandisha vyeo mahakamani hauna maana tena mbele ya "
the rock"
Pia kwa mara ya kwanza amezungumzia watu kumsema hajui kiingereza

Kuna na yule aliemfunga Sugu!
 
Nadhani jambo la muhimu ni hao wanasheria kujifunza hizo sheria kwa Kiswahili.
 
Naona umewalalia mahakimu an wanasheria kana kwamba wao ni guilty wa kutumia kingereza kwenye kesi.

Issue ni kwamba mtaala unatumika kuwafundishia mpaka wanafika hizo level, vyote vimeandikwa kwa Kiingereza.
Wao ndio walitunga huo mtaala? Nope

Sheria walizozikuta zimeandikwa kwa kingereza wao ndio waliandika nope?

Viyabu vya sheria vyote viko in english.

Halaf unataka wa deliver in swahili. Inawezekana kabisa.. ila watafanya kazi kwa style ngumu sana.
 
Leo Magu kampandisha cheo jaji kwa kuwa tuu ameandika hukumu moja kwa kiswahili, ule utaratibu wa kupandisha vyeo mahakamani hauna maana tena mbele ya "
the rock"
Pia kwa mara ya kwanza amezungumzia watu kumsema hajui kiingereza
Nchi imekosa dira kabisa halafu watu kama hawana akili zao za kufikiri wanashagilia!
 
Hawa wanasheria wanaogopa kutumia kiswahili,wanajua fika wakitumia kiswahili. Kuna baadhi ya mafungu fulani Kuna watu watayakosa, lakini pia mipigo ya dirty money haitakiwepo kwa sababu ukijiuloza nn kinawafanya wasitumie kiswahili huoni sababu ya msingi.zaidi watakuja na cheap defense ya kiswahili hakijitoshelezi, upuuzi tu. Tangu enzi za Mwl. Nyerere ambapo population ya watz ilikua around mil 20, hadi Sasa tupo over 60mil. Bado Kiswahili hakijitoshelezi tu. Nonsense!
 
Leo Magu kampandisha cheo jaji kwa kuwa tuu ameandika hukumu moja kwa kiswahili, ule utaratibu wa kupandisha vyeo mahakamani hauna maana tena mbele ya "
the rock"
Pia kwa mara ya kwanza amezungumzia watu kumsema hajui kiingereza

Kuna na yule aliemfunga Sugu!
 
Mkuu nimecheka ulivyoongea kwa hasira. Sasa fanya hivi, hebu badili simu yako toka kiingereza, lugha kuu iwe kiswahili kisha uje ulete mrejesho.
 
Mkuu nimecheka ulivyoongea kwa hasira. Sasa fanya hivi, hebu badili simu yako toka kiingereza, lugha kuu iwe kiswahili kisha uje ulete mrejesho.
Watu wanadhani kiswahili ni hiki tunachoongea mitaani.
Kuna kiswahili deep. Ww change gmail kutoka english kuwa kiswahili.
 
Watakuja kukupinga na kukukejeli kama si kukutukana
 
Na ile ndo ingrish anayojua ??? Dah ipo kazi.... kwi kwiiii
 
Watu wanadhani kiswahili ni hiki tunachoongea mitaani.
Kuna kiswahili deep. Ww change gmail kutoka english kuwa kiswahili.

Ahaaa ahaaa kabisa boss, kitaongelewa kiswahili watu watabaki wanaangaliana, maana kuna baadhi ya maneno itabidi yatoholewe toka kiingereza kwenda kiswahili, hapo ndio patachimbika. Sio wazo baya kutumia kiswahili kama sehemu ya kuanzia mbali ya changamoto zake, bali tatizo kubwa la mahakama ni ucheleweshaji wa kesi, na utoaji wa haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…