Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio

Ilikuwaje board haikuona au kudthamini brain hiyo?
 
Inaitwa recycle bin........yaani unafukunyua kweny uchafu uliotupa Jana na juzi unapuliza halafu unatia domoni....hahahahahaa bhana vevee, politics tamu sana.
 
Ila jamaa ni mstaarabu sana. Wengi katika situation yake wangetafuta passport nyingine na kuondoka nchini. Mengine hayafai kuandika humu acha niishie hapa.

 
Hii auto correct Mkuu inanipa shida sana kwenye lugha zote mbili hasa nikiwa sina muda wa kuhakikisha nilichoandika kama kiko sawa. Kuna siku tulikuwa tunachat na mrembo humu pm tunaheshimiana sana basi nimeandika neno la Kiswahili liko sawa kabisa nishatuma ndiyo naona ni tusi kubwa sana nikabaki kuomba samahani na mrembo nimuelewa haikuwa shida.

Kaka BAK umenifurahisha sana na who is to be blamed. Umetafsiri wa kulaumiwa kama unavoandika kwa Kiswahili.
 
Umewahi kusikia vilio vya wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara kote nchini?

Huyo ni mnafiki mkubwa. Mwaka juzi alitoa kauli Serikali inaendeshwa kama gari bovu. Siku chache baadaye akaitwa Ikulu kutoka kwenye kile “kikao” akamwaga misifa ya kufa mtu kwa huyo dikteta hivyo huyo babu usimsikilize na unafiki wake.

Muulize Mzee Ruksa yeye kayaita ni muujiza wa miaka3 Short and clear.
 

Leo aliitwa kwenye kikao gani kabla ya kumu endorse JPM.
 
After what he went through I don’t think he’ll stay. Probably will make a follow up on his unpaid salaries and other benefits and run away as fast as he can and his wife (and kids) suffered a lot and I don’t think she’ll advise him to stay.

lost id,
Unafikiri baada ya yaliyo mkuta bado atakuwa na moyo ule ule katika kuitumikia hiyo nafasi ?
 
Yupo pia Mramba wa Tanesco nae hakutendewa haki
 
Kabisa aisee nilimuonea huruma sana yule jamaa hakuwa na kosa lolote ila akaonewa tu katika tumbua tumbua iliyojaa uonevu. Kuna dada ambaye mara nyingi alikuwa anamkaimu Mramba naye pia alionewa hadi ikasababisha kuathiri afya yake.

Yupo pia Mramba wa Tanesco nae hakutendewa haki
 
Kabisa aisee nilimuonea huruma sana yule jamaa hakuwa na kosa lolote ila akaonewa tu katika tumbua tumbua iliyojaa uonevu. Kuna dada ambaye mara nyingi alikuwa anamkaimu Mramba naye pia alionewa hadi ikasababisha kuathiri afya yake.
Sofia mgonja
 
Reactions: BAK
I am so happy. Tulikua tunapoteza hii brain kwa sababu za kijinga kabisa.

Bodi ya mhongo ilikua ya kipumbavu kabisa.

Hivi unamuachaje Dr. Mataragio nje ya mambo ya gesi na mafuta?

Dokta kapige kazi. Uadilifu wako umeonekana baada ya yote.
Ukiona hivyo kuna watu walijipanga kupiga. Tanzania ina wezi waliosoma na wanaojiita wazalendo. Hawana aibu kwenye wizi wa mali ya umma, tena kwa kutumia sheria
 
Ilikuwaje board haikuona au kudthamini brain hiyo?
Board ilikuwa inaongozwa na Professor uchwara kwa jina Prof Bukurura yeye alikuwa anaendesha vikao vya Board kwa kupitia agenda alizokuwa anaziita habari za msibani yaani majungu.Sasa hivi bado yuko Board ya PPRA sijui kama nako huku anapeleka ushuzi wake ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…