Na waliomuondoa wataendelea kudunda? Uhusiano wake na board utakuwaje?Ishu ilikuwa nini mpka akaondolewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na waliomuondoa wataendelea kudunda? Uhusiano wake na board utakuwaje?Ishu ilikuwa nini mpka akaondolewa?
Kaka BAK umenifurahisha sana na who is to be blamed. Umetafsiri wa kulaumiwa kama unavoandika kwa Kiswahili.Why did it take this long? Who is to be blamed for this?
Mimi ndio wakulaumiwa!Who is to be blamed for this?
Mafanikio gani aliyokuwa nayo huyo nduli? Kununua Wabunge!? 😳😳😳
Ilikuwaje board haikuona au kudthamini brain hiyo?Mifumo yote ya mafuta na gesi hii nchi na geology yake ina mkono wa huyo jamaa. Ni akili kubwa maana alikua anafanya kazi kwenye makampuni makubwa Duniani.
Petrobras ya Brazil, Columbia, Canada, Japan, Phillipines, na nchi kibao. Asingekua brain unafikiri angefanya kazi huko?
Inaitwa recycle bin........yaani unafukunyua kweny uchafu uliotupa Jana na juzi unapuliza halafu unatia domoni....hahahahahaa bhana vevee, politics tamu sana.Nadhani JK hivi sasa atapumua! Manake kaenda SA kumchukua yule mama aliyekuwa TIC, kaja bwana Mkubwa kamtema! Huyu nae alimtoa kwenye kazi yake mzuri tu US, miaka miwili baadae, akakutana na fitina za wabongo!
Kwanza hapa JPM asijikoshe, na nimeona misukule yake hapa ikijifanya kusifia! Ni taasisi nyingi tu zilitajwa kufanya wrong doing na CAG, ni kwanini mkono wa sheria uliwakumba TPDC peke yake?! Tusisahau kwamba, ni huyu huyu JPM ndie alitangaza hadharani kwamba gas yote tumeibiwa, na kwahiyo kuna uwezekano mkubwa kufikishwa mahakamani kwa Matagilo kuna mkono wake! Yaani ni yale yale unasimama hadharani na kusema ana ushahidi kwamba polisi wale walikula rushwa na kusindikiza wezi wa dhahabu, 6 months later, yule yule aliyesema ana ushahidi, hatimae anatangaza polisi wale wale aliosema wamekula rushwa, hivi sasa waachiwe huru na kurudishwa kazini mara moja!
Alikabidhi passport kweli....takukuru walimkalia vibaya sana! Yani nilikuwa namuona mpaka nahuzunika!
Pale TPDC, gesi inayotoka mtwara na inatumika pale kinyerezi kwa tanesco, kinyerezi 1&2, its only 7%!
Niliposikia hii nilichoka, hivi stiglers bwana mkubwa aling' ang'ania ya nini?
Kaka BAK umenifurahisha sana na who is to be blamed. Umetafsiri wa kulaumiwa kama unavoandika kwa Kiswahili.
Muulize Mzee Ruksa yeye kayaita ni muujiza wa miaka3 Short and clear.
Umewahi kusikia vilio vya wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara kote nchini?
Huyo ni mnafiki mkubwa. Mwaka juzi alitoa kauli Serikali inaendeshwa kama gari bovu. Siku chache baadaye akaitwa Ikulu kutoka kwenye kile “kikao” akamwaga misifa ya kufa mtu kwa huyo dikteta hivyo huyo babu usimsikilize na unafiki wake.
lost id,
Unafikiri baada ya yaliyo mkuta bado atakuwa na moyo ule ule katika kuitumikia hiyo nafasi ?
Hii auto correct Mkuu inanipa shida sana kwenye lugha zote mbili hasa nikiwa sina muda wa kuhakikisha nilichoandika kama kiko sawa. Kuna siku tulikuwa tunachat na mrembo humu pm tunaheshimiana sana basi nimeandika neno la Kiswahili liko sawa kabisa nishatuma ndiyo naona ni tusi kubwa sana nikabaki kuomba samahani na mrembo nimuelewa haikuwa shida.
Something must be behind this move.
Leo aliitwa kwenye kikao gani kabla ya kumu endorse JPM.
Yupo pia Mramba wa Tanesco nae hakutendewa haki
Ishu ilikuwa nini mpka akaondolewa?
Sofia mgonjaKabisa aisee nilimuonea huruma sana yule jamaa hakuwa na kosa lolote ila akaonewa tu katika tumbua tumbua iliyojaa uonevu. Kuna dada ambaye mara nyingi alikuwa anamkaimu Mramba naye pia alionewa hadi ikasababisha kuathiri afya yake.
Ukiona hivyo kuna watu walijipanga kupiga. Tanzania ina wezi waliosoma na wanaojiita wazalendo. Hawana aibu kwenye wizi wa mali ya umma, tena kwa kutumia sheriaI am so happy. Tulikua tunapoteza hii brain kwa sababu za kijinga kabisa.
Bodi ya mhongo ilikua ya kipumbavu kabisa.
Hivi unamuachaje Dr. Mataragio nje ya mambo ya gesi na mafuta?
Dokta kapige kazi. Uadilifu wako umeonekana baada ya yote.
Board ilikuwa inaongozwa na Professor uchwara kwa jina Prof Bukurura yeye alikuwa anaendesha vikao vya Board kwa kupitia agenda alizokuwa anaziita habari za msibani yaani majungu.Sasa hivi bado yuko Board ya PPRA sijui kama nako huku anapeleka ushuzi wake ,Ilikuwaje board haikuona au kudthamini brain hiyo?