Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

Kuna zilizongizwa kwanjia ya panya ndizo lengwa! Kunauwezekano Watu walipitanaxo kwenye mikoba hapo airpot! Jiongeze, mkuu.
Na hio hatari inafanya kazi kwenye barakoa peke yake ? Au kwa mantiki hio tuache kutumia chochote kinachotoka nje ? Na hao wahusika waliotengeneza hizo mbovu ni bahati mbaya (low quality sababu ya uzembe) au walikusudia kuweka sumu ?

Kama ni low quality unavyomwambia kila mtu ashone na mwingine anatumia kitambaa cha chandarua huoni hapo haujasolve tatizo ?

Kama ni makusudi waliweka sumu kwanini tusiuambie ulimwengu na ndugu zetu waafrika kwamba kampuni fulani iliweka sumu hence tujikinge nayo?
 
Akili za ajabu kabisa hizi, yani Rais akiwa kimya eti haongei ameweka rehani roho za waTanzania, akiongea eti muongo. Haya basi. Ongea wewe nchi ipone
 
Ina sikitisha sana. Na hio siku yenye masaa 48 sijui mwezini au Chato.

Ana waponda sana wanaovaa masks, hapa nimepata jibu kwanini viongozi wengi hawavai mask.
 
Akili za ajabu kabisa hizi, yani Rais akiwa kimya eti haongei ameweka rehani roho za waTanzania, akiongea eti muongo. Haya basi. Ongea wewe nchi ipone
Kuna kuongea..., na kuna kuongea..., content matters..., Kukiwa kuna wezi hapo Getini ukakaa kimya wakati wewe ndio kiongozi wa familia unaweza ukasababisha chaos na panic...

Ila Ukiongea inawezekana kabisa unachokiongea kikaongeza taharuki zaidi (kwahio content matters); Mfano unaweza kusema hao sio wezi ni walinzi wakati watu wanaona kabisa ni majambazi
 
Hivi kwa akili ya kawaida unafikiri kuna Mtuwa kumshaur peke km washauri wenyew ndo akina Mwigulu nchemba na PM?Yaaan tunakua na akiwa kimya tangu awe rais hajawshi kuwa na maneno mazuri ya faraja wakat wamajanga...ebu anzia Kagera!........tuna rais wa ajabu haijapata kutokea ktk historia ya nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…