Hahahaa!Kuanzia leo naitwa Bupiji usiniulize kwanini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa!Kuanzia leo naitwa Bupiji usiniulize kwanini
Ahsante Ndugu yangu kwa kusikia hiyo kauli na akafanya calculation ya barakoa 1 kutumika kwa saa 4 na hivyo kwa Siku zitahitajika 12.Makosa kama hayo yanafutikaje!Video zipo YouTube,kuna uwezekano wa Ku delete?Huyo ni Rais Msomi wa Chemistry mwenye Dr.Itakuwaje?Kuna upotoshaji unaendelea. Sijui ni kwa malengo gani... No wonder tunaambiwa Siku ina masaa 48... Na tunakubali.
Sasa na wewe unamwulizia mleta mada? Si Bora ukamwulize Mzee John anayesimama mimbarini kuponda Barakoa zilizoingizwa mchini?Leta ushahidi wa barakoa zilizoingizwa nchini bila uhakiki wa taasisi husika!
Huyu aweza kufunga hospitali za umma huyu navyomuona. Kwamba kufa ni mipango ya nani?Anasema watu wanakufa kwa mipango ya Mungu. Anajivua lawama kwamba hata watu wafe wangapi yeye hahusiki, hana uwezo wala jukumu la kuzuia hilo.
Ana uwezo mdogo sana wa kufikiri na anawapa kazi sana wasaidizi wake. Nahisi wameamua wamuache tu!
unachangia mada gani?makosa ya watu wengine sio suluhisho la matatizo yakoMbona hamuhoji wale wa church wanaposahau mpaka wa state ulipo na kuhimiza wananchi wafanye mambo yasiyo ya ki-church bali ya kisiasa shughuli zinazo fungamana na state!? Tukisema mnafanya double standard gestures tutakosea!?
HahahahaWewe ndio mweupe kabisa.
Mnakura matapishiWewe uelewa wako ni mdogo sana kama piriton. Spika yupo peke yake kwenye kiti chake,barakoa la nini?
Ahsante Ndugu yangu kwa kusikia hiyo kauli na akafanya calculation ya barakoa 1 kutumika kwa saa 4 na hivyo kwa Siku zitahitajika 12.Makosa kama hayo yanafutikaje!Video zipo YouTube,kuna uwezekano wa Ku delete?Huyo ni Rais Msomi wa Chemistry mwenye Dr.Itakuwa
Tofauti ni IPi hasa????Iko tofauti kati ya kukataza na kupiga marufuku.
Unalipwa shilingi ngap boss? Mbona unashupaza shingo sana? Ulisoma kweli? Mpaka darasa la ngapi? Matokeo yakawaje???Wewe uelewa wako ni mdogo sana kama piriton. Spika yupo peke yake kwenye kiti chake,barakoa la nini?
Mkuu hapo mnaniacha njia panda kwenye swala la vipimo kuwa sio vya kuaminikaSimply sijaona kosa la Magufuli, bali ninachokiona ni chuki binafsi tu. 2020 alikuwa Rais yeye but hii ni vita, na vita ina mbinu nyingi na ndio maana hata vifaa vya kupimia corona walivishtukia baada ya kuona matokeo yanayotoka yana mashaka. Kumbuka wakati wanashtukia vifaa, of which kipindi hicho bado vifaa vya upimaji vilikuwa vichache kupatikana hata huko wanakotengeneza, tayari kulikuwa na kontena nyingi tu za barakoa zimeingia na zikapimwa kama zimefikia viwango vya kawaida bila kujua hizo ni carier za virus. Ishu ya mapapai ndiyo iliyofungua macho na kujua kumbe hata barakoa zina changamoto kama ambavyo baadhi ya vifaa vya upimaji. Nadhani unajua nini kiliwapata watu wa maabara kuu ya serikali ambapo ndani yake kulikuwa na watu wa usalama wa taifa ambao kiutaratibu sisi wananchi haturuhusiwi kisheria kujua wamechukuliwa hatua gani.