Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Kuna siku wazazi wako watafanyiwa hivyo alafu kuna ndugu yako ataongea kama wewe utamnunia basi.Hio janja janja tumeshtuka
Ufipa Hamna Kiki hapa
Hakika msije washangaa Watanzania wenzenu siku kiongozi wenu akipasuliwa ubongo wao wakachekelea na kugonga glasi.Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
Mkuu kwani hujui hili ni genge la kigaidi?Hakika msije washangaa Watanzania wenzenu siku kiongozi wenu akipasuliwa ubongo wao wakachekelea na kugonga glasi.
Mnauzi sana kwa ushabiki wa kijinga. Mbona wengine tukisikia kiongozi hata wa kata wa CCM kapigwa makofi kwa sababu za kisiasa tunachukizwa na kulaani kitendo hicho inakuwaje nyie farasi?
Azory Gwanda
Ben Saanane
Tundu Lissu..
And now Mbowe
Nyie chadema kama mmekosa kabisa sera za kampeni mwaka huu bora mkae kimya asee kuliko kuleta janja janja inamaana hata kama mtu kafumaniwa kapigwa basi ni watu wasiojulikana mnajishusha na mnaboa kwakweliTundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2018. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa!
Leo tena tarehe 9 Juni,2020 Mhe. Freeman Mbowe(MB , Mwenyekiti-CHADEMA) na Kiongozi- KUB Bungeni
ameshambuliwa na WATU WASIOJULIKANA huko Dodoma. Watu hao walikuwa wakimwambia Mhe. Mbowe ati aache kumtukana Rais Magufuli!¡!
Kwa matukio haya mawili yaliyo walenga Wabunge na Viongozi Waandamizi wa CHADEMA na Viongozi wa KUB Bungeni inadhihirisha Serikali inajua kinachoendelea.
Rais Magufuli akiwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vyote va Ulinzi na Usalama anatakiwa Sasa aiambie dunia nini Kiko nyuma ya mashambulizi haya. Kuendelea kukaa kumya kwa Rais Magufuli inaonekana yeye ni SEHEMU ya njama hizi ovu. Tayari kuna madai watu waliomshambulia Mhe. Mbowe wamesikika wakimtaka Mbowe asiendelee kumtukana Rais Magufuli... !Je, anawatuma? Kama siyo yeye nani wanavofanya huu upuuzi wa kuhatarisha Amani ya Tanzania?
Hawa hawajui hata kuleta hoja wenzenu wapinzani wa mbele wanafanya hivi......wakiona wameshindwa na serikali iliopo madarakani yaani inafanya kila kitu kwa ufasaha pas na shaka basi wanajikita kwenye madhaifu ambayo hakuyafanya lakin haya mapinzani ya hapa hata rais afanye zuri kiasi gani yanajikita kwenye opposition tu ndio wanachokijua sijui hawasomi strategic za wenzaoKuongozi wa kambi lasmi bungeni anatembea saa sita mpaka saa saba usiku bila ulinzi hiyo inaleta maana kweli pia muda huo wote alikuwa anatoka wapi?
Huyo ni mtu mkubwa pia umri si kidogo sasa alikuwa anatafuta nini usiku?
Hapa inaonekana alikuwa anaongea na magenge yake ya uhalifu usiku wakashindwa kuelewana basi wakamgeuka kichapo.
Ni aibu kwa KUB kukutana na kichapo usiku wa manane bila ulinzi, hata hapo kwake pia hana ulinzi, kwanza aseme alikuwa anatoka wapi?
Baada ya risu kutangaza kugombea yeye aliaanza vijao vya usiku? Je hiyo ni halalai,
Je dereva wake alikuwa wapi? Chadema tuanataka majibu, vinginebyo mnatakiwa kufutwa maana manataka kuleta machafuko.