Nyie magaidi hotuba ya kutangaza nia Lissu imeshawatoa ufahamuHayo maigizo yenu ni yakitoto sioni kama Kuna point ya kumiinguza ikulu sio kisa mmeitwa wapinzani basi kila linaloendelea mnachomekea na huo upinzani ina maana hakuna maisha ya kawaida sasa maisha yenu yote mmewekeza kwenye siasa
Hacha kumuhusisha raisi na mambo ya kizwazwa.......unapata wapi ujasiri wa kuongea pumba ivo...??sasa hapa raisi amehusikaje??.....hata kama humpendi sio kiivo.....Tundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2018. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa!
Leo tena tarehe 9 Juni,2020 Mhe. Freeman Mbowe(MB , Mwenyekiti-CHADEMA) na Kiongozi- KUB Bungeni
ameshambuliwa na WATU WASIOJULIKANA huko Dodoma. Watu hao walikuwa wakimwambia Mhe. Mbowe ati aache kumtukana Rais Magufuli!¡!
Kwa matukio haya mawili yaliyo walenga Wabunge na Viongozi Waandamizi wa CHADEMA na Viongozi wa KUB Bungeni inadhihirisha Serikali inajua kinachoendelea.
Rais Magufuli akiwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vyote va Ulinzi na Usalama anatakiwa Sasa aiambie dunia nini Kiko nyuma ya mashambulizi haya. Kuendelea kukaa kumya kwa Rais Magufuli inaonekana yeye ni SEHEMU ya njama hizi ovu. Tayari kuna madai watu waliomshambulia Mhe. Mbowe wamesikika wakimtaka Mbowe asiendelee kumtukana Rais Magufuli... !Je, anawatuma? Kama siyo yeye nani wanavofanya huu upuuzi wa kuhatarisha Amani ya Tanzania?
Tundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2018. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa!
Leo tena tarehe 9 Juni,2020 Mhe. Freeman Mbowe(MB , Mwenyekiti-CHADEMA) na Kiongozi- KUB Bungeni
ameshambuliwa na WATU WASIOJULIKANA huko Dodoma. Watu hao walikuwa wakimwambia Mhe. Mbowe ati aache kumtukana Rais Magufuli!!
Kwa matukio haya mawili yaliyo walenga Wabunge na Viongozi Waandamizi wa CHADEMA na Viongozi wa KUB Bungeni inadhihirisha Serikali inajua kinachoendelea.
Rais Magufuli akiwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama anatakiwa Sasa aiambie dunia nini Kiko nyuma ya mashambulizi haya. Kuendelea kukaa kumya kwa Rais Magufuli inaonekana yeye ni SEHEMU ya njama hizi ovu. Tayari kuna madai watu waliomshambulia Mhe. Mbowe wamesikika wakimtaka Mbowe asiendelee kumtukana Rais Magufuli... !Je, anawatuma? Kama siyo yeye nani wanapanga huu upuuzi wa kuhatarisha Amani ya Tanzania?
Eneo la area D Dodoma ni sawa na Syria.
Hii ndiyo akili ya mtu mweusi! Unachopanda ndiyo utakachovuna endeleeni kupalilia mbegu ya chuki! [emoji849]Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
Muwe mnapunguza viwango vya upumbafu maana ujinga uwa unatoweka, katika nchi inayoendeshwa kisheria inawezekanaje kukawa na vikundi vya kihuni Kama unavyodai na huku vyombo vya ulinzi na usalama vikiwepo waachiwe tu! Hili pori linaloitwa Tanzania tuko wote lichomeni tu Moto ukikolea na ukawashinda kuuzima kitaungua hata kilembwe chenu!! Wako akina sadam na akina gadaf!?Fikra ulizoziweka hapa ni aina ya mambo ya kijinga kufikiri..picha ya wazi ya Chadema kufanyiana ubaya inaonekana tu,wao kua na cheo kwenye chama ni njia za kupata pesa na si kweli uchungu wa wananchi eti wanataka kwenda Ikulu kuwasaidia wananchi la hasha,kumtaka RAIS wa nchi atoe maelezo kulisemea kundi la kihuni hii ni udogo wa kufikiri na mihemko ya kisiasa juu ya chama unacho kipenda,mimi sina chama lakini uhalisia unaonekana,ninaona wazi kabisa RAIS na serikali yake wako busy kutekeleza mahitaji ya wananchi na wananchi walio wengi wameshamuamini sana na kweli anaweza,sasa ana shida gani ya kupambana na genge la kihuni?hao chadema ni wao ndo watakua wanajuana,wananchi wengi wanaiona picha ya wazi ila hutawaona humu Jf wala twitter maana humu tunaingia therusi ya wananchi wote,mwisho wa siku wananchi wanaoelewa na wasio ingia mitandaoni wanaenda kupiga kura ya ndiyo.
Wanajikita kwenye madhaifu kufanyaje kusifu au kukosoa!?Hawa hawajui hata kuleta hoja wenzenu wapinzani wa mbele wanafanya hivi......wakiona wameshindwa na serikali iliopo madarakani yaani inafanya kila kitu kwa ufasaha pas na shaka basi wanajikita kwenye madhaifu ambayo hakuyafanya lakin haya mapinzani ya hapa hata rais afanye zuri kiasi gani yanajikita kwenye opposition tu ndio wanachokijua sijui hawasomi strategic za wenzao
Namkumbuka Mzee Mangula. Hivi nani na kwa nini walimlisha sumu? Mwakyembe aliponea chupu chupu.Fikra ulizoziweka hapa ni aina ya mambo ya kijinga kufikiri..picha ya wazi ya Chadema kufanyiana ubaya inaonekana tu,wao kua na cheo kwenye chama ni njia za kupata pesa na si kweli uchungu wa wananchi eti wanataka kwenda Ikulu kuwasaidia wananchi la hasha,kumtaka RAIS wa nchi atoe maelezo kulisemea kundi la kihuni hii ni udogo wa kufikiri na mihemko ya kisiasa juu ya chama unacho kipenda,mimi sina chama lakini uhalisia unaonekana,ninaona wazi kabisa RAIS na serikali yake wako busy kutekeleza mahitaji ya wananchi na wananchi walio wengi wameshamuamini sana na kweli anaweza,sasa ana shida gani ya kupambana na genge la kihuni?hao chadema ni wao ndo watakua wanajuana,wananchi wengi wanaiona picha ya wazi ila hutawaona humu Jf wala twitter maana humu tunaingia therusi ya wananchi wote,mwisho wa siku wananchi wanaoelewa na wasio ingia mitandaoni wanaenda kupiga kura ya ndiyo.
ccm ni chama cha mauajiTundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2018. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa!
Leo tena tarehe 9 Juni,2020 Mhe. Freeman Mbowe(MB , Mwenyekiti-CHADEMA) na Kiongozi- KUB Bungeni
ameshambuliwa na WATU WASIOJULIKANA huko Dodoma. Watu hao walikuwa wakimwambia Mhe. Mbowe ati aache kumtukana Rais Magufuli!!
Kwa matukio haya mawili yaliyo walenga Wabunge na Viongozi Waandamizi wa CHADEMA na Viongozi wa KUB Bungeni inadhihirisha Serikali inajua kinachoendelea.
Rais Magufuli akiwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama anatakiwa Sasa aiambie dunia nini Kiko nyuma ya mashambulizi haya. Kuendelea kukaa kumya kwa Rais Magufuli inaonekana yeye ni SEHEMU ya njama hizi ovu. Tayari kuna madai watu waliomshambulia Mhe. Mbowe wamesikika wakimtaka Mbowe asiendelee kumtukana Rais Magufuli... !Je, anawatuma? Kama siyo yeye nani wanapanga huu upuuzi wa kuhatarisha Amani ya Tanzania?
Wewe unaweza igiza kuvunjwa mguu; unayajua maumivu ya kuvunjika mguu wewe? usiongee matapishi naomba uwe objective. Dont let your skewed political fanaticism cast shadow on your thinking capacity. This is purely politically motivated mental degradationBaada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
Kama hawa watu wasiojulikana bado wapo nchini ni na IGP ameshindwa ni wakati umefika sasa serikali kutangaza hali ya hatari kila mtu ajilinde kwa nchi sasa inakikundi cha hatari cha waasi kama kile cha ADFTundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2018. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa!
Leo tena tarehe 9 Juni,2020 Mhe. Freeman Mbowe(MB , Mwenyekiti-CHADEMA) na Kiongozi- KUB Bungeni
ameshambuliwa na WATU WASIOJULIKANA huko Dodoma. Watu hao walikuwa wakimwambia Mhe. Mbowe ati aache kumtukana Rais Magufuli!!
Kwa matukio haya mawili yaliyo walenga Wabunge na Viongozi Waandamizi wa CHADEMA na Viongozi wa KUB Bungeni inadhihirisha Serikali inajua kinachoendelea.
Rais Magufuli akiwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama anatakiwa Sasa aiambie dunia nini Kiko nyuma ya mashambulizi haya. Kuendelea kukaa kumya kwa Rais Magufuli inaonekana yeye ni SEHEMU ya njama hizi ovu. Tayari kuna madai watu waliomshambulia Mhe. Mbowe wamesikika wakimtaka Mbowe asiendelee kumtukana Rais Magufuli... !Je, anawatuma? Kama siyo yeye nani wanapanga huu upuuzi wa kuhatarisha Amani ya Tanzania?
Kiki kwenye uhai wa mtu,ebu nyie mvunjeni jiwe hata ka kidole tuone ni kiki,shwain kabisaHio janja janja tumeshtuka
Ufipa Hamna Kiki hapa
Fikra ulizoziweka hapa ni aina ya mambo ya kijinga kufikiri..picha ya wazi ya Chadema kufanyiana ubaya inaonekana tu,wao kua na cheo kwenye chama ni njia za kupata pesa na si kweli uchungu wa wananchi eti wanataka kwenda Ikulu kuwasaidia wananchi la hasha,kumtaka RAIS wa nchi atoe maelezo kulisemea kundi la kihuni hii ni udogo wa kufikiri na mihemko ya kisiasa juu ya chama unacho kipenda,mimi sina chama lakini uhalisia unaonekana,ninaona wazi kabisa RAIS na serikali yake wako busy kutekeleza mahitaji ya wananchi na wananchi walio wengi wameshamuamini sana na kweli anaweza,sasa ana shida gani ya kupambana na genge la kihuni?hao chadema ni wao ndo watakua wanajuana,wananchi wengi wanaiona picha ya wazi ila hutawaona humu Jf wala twitter maana humu tunaingia therusi ya wananchi wote,mwisho wa siku wananchi wanaoelewa na wasio ingia mitandaoni wanaenda kupiga kura ya ndiyo.
Kuongozi wa kambi lasmi bungeni anatembea saa sita mpaka saa saba usiku bila ulinzi hiyo inaleta maana kweli pia muda huo wote alikuwa anatoka wapi?
Huyo ni mtu mkubwa pia umri si kidogo sasa alikuwa anatafuta nini usiku?
Hapa inaonekana alikuwa anaongea na magenge yake ya uhalifu usiku wakashindwa kuelewana basi wakamgeuka kichapo.
Ni aibu kwa KUB kukutana na kichapo usiku wa manane bila ulinzi, hata hapo kwake pia hana ulinzi? kwanza aseme alikuwa anatoka wapi?
Baada ya Lisu kutangaza kugombea yeye aliaanza vikao vya usiku? Je hiyo ni halalai?
Je dereva wake alikuwa wapi wakati anavamiwa? Chadema tuanataka majibu, vinginebyo mnatakiwa kufutwa maana manataka kuleta machafuko.