Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,016
Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao
Mkuu mie naomba kujua yafuatayo? 1. Wanachadema pia ni watanzania? 2. Je siku hizi ni ruksa wanafamilia kushambuliana wao kwa wao kwa mpanga na bunduki ndani ya nchi hii?Mara zote hujuma wanazofanyiana wapinzani wao kwa wao wanazitupia imma kwa CCM ama kwa Rais Magufuli.
Lakini mungu yupo pamoja na hili taifa teule la Tanzania.
Mungu ibariki zaidi Tanzania
Mkuu naomba kujua,wanachadema pia ni watanzania?Fikra ulizoziweka hapa ni aina ya mambo ya kijinga kufikiri..picha ya wazi ya Chadema kufanyiana ubaya inaonekana tu,wao kua na cheo kwenye chama ni njia za kupata pesa na si kweli uchungu wa wananchi eti wanataka kwenda Ikulu kuwasaidia wananchi la hasha,kumtaka RAIS wa nchi atoe maelezo kulisemea kundi la kihuni hii ni udogo wa kufikiri na mihemko ya kisiasa juu ya chama unacho kipenda,mimi sina chama lakini uhalisia unaonekana,ninaona wazi kabisa RAIS na serikali yake wako busy kutekeleza mahitaji ya wananchi na wananchi walio wengi wameshamuamini sana na kweli anaweza,sasa ana shida gani ya kupambana na genge la kihuni?hao chadema ni wao ndo watakua wanajuana,wananchi wengi wanaiona picha ya wazi ila hutawaona humu Jf wala twitter maana humu tunaingia therusi ya wananchi wote,mwisho wa siku wananchi wanaoelewa na wasio ingia mitandaoni wanaenda kupiga kura ya ndiyo.
Sasa unataka lawama ziende kwa nani? hivi anayehakikisha usalama wa wana familia ni nani? dada wa kazi, Mama ama Baba wa mji? sasa kama likitokea tatizo wanafamilia wamuulie nani? dada wa kazi siyo!!Mara zote hujuma wanazofanyiana wapinzani wao kwa wao wanazitupia imma kwa CCM ama kwa Rais Magufuli.
Lakini mungu yupo pamoja na hili taifa teule la Tanzania.
Mungu ibariki zaidi Tanzania
Hata jambazi akikuvamia anatengeneza scenario kwamba katumwa na fulani kumbe hakuna ukweli wowote, kwa hiyo so ajabu wadhalimu hao kumshambulia Mbowe na kusema aache kumtukana Rais ili kujiwekea cover kwamba ni maagizo. Kimsingi tangu nimjue Mbowe hajawahi kumtukana Rais sasa iweje waseme maneno hayo?Tundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2018. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa!
Leo tena tarehe 9 Juni,2020 Mhe. Freeman Mbowe(MB , Mwenyekiti-CHADEMA) na Kiongozi- KUB Bungeni ameshambuliwa na WATU WASIOJULIKANA huko Dodoma. Watu hao walikuwa wakimwambia Mhe. Mbowe ati aache kumtukana Rais Magufuli!!
Kwa matukio haya mawili yaliyo walenga Wabunge na Viongozi Waandamizi wa CHADEMA na Viongozi wa KUB Bungeni inadhihirisha Serikali inajua kinachoendelea.
Rais Magufuli akiwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama anatakiwa Sasa aiambie dunia nini Kiko nyuma ya mashambulizi haya. Kuendelea kukaa kumya kwa Rais Magufuli inaonekana yeye ni SEHEMU ya njama hizi ovu. Tayari kuna madai watu waliomshambulia Mhe. Mbowe wamesikika wakimtaka Mbowe asiendelee kumtukana Rais Magufuli... !Je, anawatuma? Kama siyo yeye nani wanapanga huu upuuzi wa kuhatarisha amani ya Tanzania?
chadema ni mali ya watanzania,ndo maana hampati usingiziMimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao
Baba yenu mbona anatembea usiku kutoka ferry Hadi kisarawe Kwa jokate Ila Kwa wewe mtoto wa kike kutembea usiku ni ngumu kwasabb ya kulinda heshima ya ndoaKuongozi wa kambi lasmi bungeni anatembea saa sita mpaka saa saba usiku bila ulinzi hiyo inaleta maana kweli pia muda huo wote alikuwa anatoka wapi?
Huyo ni mtu mkubwa pia umri si kidogo sasa alikuwa anatafuta nini usiku?
Hapa inaonekana alikuwa anaongea na magenge yake ya uhalifu usiku wakashindwa kuelewana basi wakamgeuka kichapo.
Ni aibu kwa KUB kukutana na kichapo usiku wa manane bila ulinzi, hata hapo kwake pia hana ulinzi? kwanza aseme alikuwa anatoka wapi?
Baada ya Lisu kutangaza kugombea yeye aliaanza vikao vya usiku? Je hiyo ni halalai?
Je dereva wake alikuwa wapi wakati anavamiwa? Chadema tuanataka majibu, vinginebyo mnatakiwa kufutwa maana manataka kuleta machafuko.
Yaani mshambuliane wenyewe alafu lawama kwa serikali?Tundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2018. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa!
Leo tena tarehe 9 Juni,2020 Mhe. Freeman Mbowe(MB , Mwenyekiti-CHADEMA) na Kiongozi- KUB Bungeni ameshambuliwa na WATU WASIOJULIKANA huko Dodoma. Watu hao walikuwa wakimwambia Mhe. Mbowe ati aache kumtukana Rais Magufuli!!
Kwa matukio haya mawili yaliyo walenga Wabunge na Viongozi Waandamizi wa CHADEMA na Viongozi wa KUB Bungeni inadhihirisha Serikali inajua kinachoendelea.
Rais Magufuli akiwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama anatakiwa Sasa aiambie dunia nini Kiko nyuma ya mashambulizi haya. Kuendelea kukaa kumya kwa Rais Magufuli inaonekana yeye ni SEHEMU ya njama hizi ovu. Tayari kuna madai watu waliomshambulia Mhe. Mbowe wamesikika wakimtaka Mbowe asiendelee kumtukana Rais Magufuli... !Je, anawatuma? Kama siyo yeye nani wanapanga huu upuuzi wa kuhatarisha amani ya Tanzania?
Mzee hili swala limewaponyoka wote, Chadema na Serikali pia. Kiongozi KUB hawezi kuwa na ulinzi ambao uko tight kama wa Rais, inabidi awe huru kidogo, bado hatujafikia katika hatua ya kumweka kwenye ulinzi wa aina hiyo. Kwa hiyo hatuhitaji kumkosoa kwa lolote kuhusiana na movement zake. Mimi naomba tu tuviache vyombo vya dola vilishugulikie hili swala halafu baadaye vituletee mrejesho, naomba sana!Kuongozi wa kambi lasmi bungeni anatembea saa sita mpaka saa saba usiku bila ulinzi hiyo inaleta maana kweli pia muda huo wote alikuwa anatoka wapi?
Huyo ni mtu mkubwa pia umri si kidogo sasa alikuwa anatafuta nini usiku?
Hapa inaonekana alikuwa anaongea na magenge yake ya uhalifu usiku wakashindwa kuelewana basi wakamgeuka kichapo.
Ni aibu kwa KUB kukutana na kichapo usiku wa manane bila ulinzi, hata hapo kwake pia hana ulinzi? kwanza aseme alikuwa anatoka wapi?
Baada ya Lisu kutangaza kugombea yeye aliaanza vikao vya usiku? Je hiyo ni halalai?
Je dereva wake alikuwa wapi wakati anavamiwa? Chadema tuanataka majibu, vinginebyo mnatakiwa kufutwa maana manataka kuleta machafuko.
Ungekuwa hujaolewa leo ningelipa mahari nikuzalishe watoto kama 12Nyie chadema kama mmekosa kabisa sera za kampeni mwaka huu bora mkae kimya asee kuliko kuleta janja janja inamaana hata kama mtu kafumaniwa kapigwa basi ni watu wasiojulikana mnajishusha na mnaboa kwakweli
Tazama hili NUNGAYEMBEKuongozi wa kambi lasmi bungeni anatembea saa sita mpaka saa saba usiku bila ulinzi hiyo inaleta maana kweli pia muda huo wote alikuwa anatoka wapi?
Huyo ni mtu mkubwa pia umri si kidogo sasa alikuwa anatafuta nini usiku?
Hapa inaonekana alikuwa anaongea na magenge yake ya uhalifu usiku wakashindwa kuelewana basi wakamgeuka kichapo.
Ni aibu kwa KUB kukutana na kichapo usiku wa manane bila ulinzi, hata hapo kwake pia hana ulinzi? kwanza aseme alikuwa anatoka wapi?
Baada ya Lisu kutangaza kugombea yeye aliaanza vikao vya usiku? Je hiyo ni halalai?
Je dereva wake alikuwa wapi wakati anavamiwa? Chadema tuanataka majibu, vinginebyo mnatakiwa kufutwa maana manataka kuleta machafuko
Tundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2018. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa!
Leo tena tarehe 9 Juni,2020 Mhe. Freeman Mbowe(MB , Mwenyekiti-CHADEMA) na Kiongozi- KUB Bungeni ameshambuliwa na WATU WASIOJULIKANA huko Dodoma. Watu hao walikuwa wakimwambia Mhe. Mbowe ati aache kumtukana Rais Magufuli!!
Kwa matukio haya mawili yaliyo walenga Wabunge na Viongozi Waandamizi wa CHADEMA na Viongozi wa KUB Bungeni inadhihirisha Serikali inajua kinachoendelea.
Rais Magufuli akiwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama anatakiwa Sasa aiambie dunia nini Kiko nyuma ya mashambulizi haya. Kuendelea kukaa kumya kwa Rais Magufuli inaonekana yeye ni SEHEMU ya njama hizi ovu. Tayari kuna madai watu waliomshambulia Mhe. Mbowe wamesikika wakimtaka Mbowe asiendelee kumtukana Rais Magufuli... !Je, anawatuma? Kama siyo yeye nani wanapanga huu upuuzi wa kuhatarisha amani ya Tanzania?
Nhhh!! Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!! Mh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ubongo wako wewe ni kamasi tupu!Yaani mshambuliane wenyewe alafu lawama kwa serikali?
Na huyo bodyguard wake kazi take huwa in nini?
Sasa hivi Mbowe na chadema yake na Lisu wake wana nguvu gani kisiasa hadi mshambuliwe?
Wakati mwingine mnacheza mission ya kitoto
Anatumwa na Basha wake aliyemkabithi PSU subiri kitalia tu!genge la bashite hilo...limeanza tena kazi
Tazama hili NUNGAYEMBE
Mzee hili swala limewaponyoka wote, Chadema na Serikali pia. Kiongozi KUB hawezi kuwa na ulinzi ambao uko tight kama wa Rais, inabidi awe huru kidogo, bado hatujafikia katika hatua ya kumweka kwenye ulinzi wa aina hiyo. Kwa hiyo hatuhitaji kumkosoa kwa lolote kuhusiana na movement zake. Mimi naomba tu tuviache vyombo vya dola vilishugulikie hili swala halafu baadaye vituletee mrejesho, naomba sana!