mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,296
- 13,744
Kwani kigogo anasemaje hakuwa informationIla ana muda wa kuwa Yuma wahudumu wawapige viongozi wa upinzani
Kwani kigogo anasemaje hakuwa informationIla ana muda wa kuwa Yuma wahudumu wawapige viongozi wa upinzani
Wewe ni mwendawazimu wa ccm huoni hata aibu kuandika ushenzi wako?Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
Umezoea kulala kifudifudi ndio maana unatafunwa.Usilale kufudi fudi leo ntakutafuna.
Fikra ulizoziweka hapa ni aina ya mambo ya kijinga kufikiri..picha ya wazi ya Chadema kufanyiana ubaya inaonekana tu,wao kua na cheo kwenye chama ni njia za kupata pesa na si kweli uchungu wa wananchi eti wanataka kwenda Ikulu kuwasaidia wananchi la hasha,kumtaka RAIS wa nchi atoe maelezo kulisemea kundi la kihuni hii ni udogo wa kufikiri na mihemko ya kisiasa juu ya chama unacho kipenda,mimi sina chama lakini uhalisia unaonekana,ninaona wazi kabisa RAIS na serikali yake wako busy kutekeleza mahitaji ya wananchi na wananchi walio wengi wameshamuamini sana na kweli anaweza,sasa ana shida gani ya kupambana na genge la kihuni?hao chadema ni wao ndo watakua wanajuana,wananchi wengi wanaiona picha ya wazi ila hutawaona humu Jf wala twitter maana humu tunaingia therusi ya wananchi wote,mwisho wa siku wananchi wanaoelewa na wasio ingia mitandaoni wanaenda kupiga kura ya ndiyo.
Wewe ni punguani haswaTundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2018. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa!
Leo tena tarehe 9 Juni,2020 Mhe. Freeman Mbowe(MB , Mwenyekiti-CHADEMA) na Kiongozi- KUB Bungeni ameshambuliwa na WATU WASIOJULIKANA huko Dodoma. Watu hao walikuwa wakimwambia Mhe. Mbowe ati aache kumtukana Rais Magufuli!!
Kwa matukio haya mawili yaliyo walenga Wabunge na Viongozi Waandamizi wa CHADEMA na Viongozi wa KUB Bungeni inadhihirisha Serikali inajua kinachoendelea.
Rais Magufuli akiwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama anatakiwa Sasa aiambie dunia nini Kiko nyuma ya mashambulizi haya. Kuendelea kukaa kumya kwa Rais Magufuli inaonekana yeye ni SEHEMU ya njama hizi ovu. Tayari kuna madai watu waliomshambulia Mhe. Mbowe wamesikika wakimtaka Mbowe asiendelee kumtukana Rais Magufuli... !Je, anawatuma? Kama siyo yeye nani wanapanga huu upuuzi wa kuhatarisha amani ya Tanzania?
Hivi ni lini Mbowe aliwahi kumtukana Magufuli?,acheni ungeseTundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2018. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa!
Leo tena tarehe 9 Juni,2020 Mhe. Freeman Mbowe(MB , Mwenyekiti-CHADEMA) na Kiongozi- KUB Bungeni ameshambuliwa na WATU WASIOJULIKANA huko Dodoma. Watu hao walikuwa wakimwambia Mhe. Mbowe ati aache kumtukana Rais Magufuli!!
Kwa matukio haya mawili yaliyo walenga Wabunge na Viongozi Waandamizi wa CHADEMA na Viongozi wa KUB Bungeni inadhihirisha Serikali inajua kinachoendelea.
Rais Magufuli akiwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama anatakiwa Sasa aiambie dunia nini Kiko nyuma ya mashambulizi haya. Kuendelea kukaa kumya kwa Rais Magufuli inaonekana yeye ni SEHEMU ya njama hizi ovu. Tayari kuna madai watu waliomshambulia Mhe. Mbowe wamesikika wakimtaka Mbowe asiendelee kumtukana Rais Magufuli... !Je, anawatuma? Kama siyo yeye nani wanapanga huu upuuzi wa kuhatarisha amani ya Tanzania?
Wewe ni punguani haswa
Inayo onyesha shambulio hilo litakua limefanywa na wenyewe Chadema, ili kupata huruma ya Wananchi.
Mbowe kasafitishwa leo kupelekwa Dar kwenye matibabu!!Lakini jamani tunamuamini alieleta uzi? Isije ikawa ni mambo yakutupa taharuki mbona hata picha hajaweka humu?
Inayo onyesha shambulio hilo litakua limefanywa na wenyewe Chadema, ili kupata huruma ya Wananchi.
Alitoka kumtafuna mama yakoJibu hoja kama huna mwambie mbowe aje ajibu, alikuwa anatoka wapi usiku huo?
Huwezi lazimisha hisia zako mbovu ziwe za wote,never!.. na ninyi ni kati ya watu wa aina tatu hapa nchini. vyeti feki,wanasiasa wenye ulafi na Ikulu kwa sababu ya matumbo yenu au mliotumbuliwa kwa sababu ya kuwaibia wananchi,sasa mna hasira na huyo Rais utadhani mliambiwa mnayo yafanya ni sahihi,mlizoea na kudhani maisha ndiyo hayo hayo miaka yote..ngoja mkome
We ni mwehu wewe! Kapimwe,unaongea nini sasa haya mjinga weHuko Marekani Kuna maandamano ya KUPINGA UBAGUZI wa rangi baada ya Polisi mweupe kumwua George Floyd kwa vile tu ni Mmarekani mweusi.
Lakini pia maandamano hayo yameenea mpaka nchi za Ulaya! Je, kwa akili yako ya ki-mataga wote wanaondamana huko nao wana vyeti feki?
Jaribu kuficha ujinga na uzezeta wako!
We ni mwehu wewe! Kapimwe,unaongea nini sasa haya mjinga we
Huwa sitaki kubishana na Majitu majinga yasiyo na akili Kama weye!!!
Azory Gwanda
Ben Saanane
Tundu Lissu..
And now Mbowe
We ni mpumbavu tu wala mimi mwenyewe sina sababu ya kubishana na jitu jike jinga shenzi type
Tukaandamane kumkataza Mbowe asiwe anakunywa Sana pombeKinachotakiwa kwa sasa ni kwa Watanzania kuchukua hatua za ndugu zetu wa Marekani baada ya kifo Cha George Floyd!