Rais Magufuli aieleze dunia nani anapanga mashambulizi ya Mbowe na Lissu jijini Dodoma?

Baba yenu mbona anatembea usiku kutoka ferry Hadi kisarawe Kwa jokate Ila Kwa wewe mtoto wa kike kutembea usiku ni ngumu kwasabb ya kulinda heshima ya ndoa

Lazima awe na ulinzi bila hivyo haendi .
Pia wewe ni mke mwenza ambae unaona wivu juu ya joketi?
 
Tundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2018. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa!

Leo tena tarehe 9 Juni,2020 Mhe. Freeman Mbowe(MB , Mwenyekiti-CHADEMA) na Kiongozi- KUB Bungeni ameshambuliwa na WATU WASIOJULIKANA huko Dodoma. Watu hao walikuwa wakimwambia Mhe. Mbowe ati aache kumtukana Rais Magufuli!!

Kwa matukio haya mawili yaliyo walenga Wabunge na Viongozi Waandamizi wa CHADEMA na Viongozi wa KUB Bungeni inadhihirisha Serikali inajua kinachoendelea.

Rais Magufuli akiwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama anatakiwa Sasa aiambie dunia nini Kiko nyuma ya mashambulizi haya. Kuendelea kukaa kumya kwa Rais Magufuli inaonekana yeye ni SEHEMU ya njama hizi ovu. Tayari kuna madai watu waliomshambulia Mhe. Mbowe wamesikika wakimtaka Mbowe asiendelee kumtukana Rais Magufuli... !Je, anawatuma? Kama siyo yeye nani wanapanga huu upuuzi wa kuhatarisha amani ya Tanzania?
Wanaotakiwa kueleza ni dereva na walinzi wa mbowe
 
Ubongo wako wewe ni kamasi tupu!
Haingii akilini CHADEMA wapange,waratibu na wajishambulie wenyewe kiasi cha kuuana sijui kwa faida ya Nani hasa! Ok,acha tukubaliane na upumbavu wako kuwa Lissu alishambuliwa na Mbowe, unaweza kujibu maswali yafuatayo:
  1. Kwanini Serikali haijamkamata Mbowe na kumfunga kwa Ushahidi usiotiliwa Shaka?
  2. Nani aling'oa zile CCTV Camera eneo alilopigiwa Lissu risasi?
  3. CHADEMA iliomba Scotland Yard Police ya UK waje wafanye Uchunguzi Serikali ilikataa Kwanini?
  4. Rais Magufuli siku 1 kabla ya Lissu hajashambuliwa litoa tamko kama maelekezo au alimaanisha nini?
You can fool some people for sometime, but you can't fool all people all the time
Hizo in ngonjera tu za MFA maji
Mwambie Lisu arudi na dereva wake, ndiyo siku hiyo mtaijua rangi halisi ya maji
 
Nashangaa kuona watu baki ghafla wamegeuka James Hardley Chase na wengine ati ni James Bond 007.
 
Kule twitter kuna video zinasambaa vijana wa CCM wakiwa kwenye mikutano yao wakiomba ridhaa kwa viongozi wao wawavunje miguu na kuwapiga wapinzani wanadai wapinzani wanadekezwa kwenye nchi hii.
 
I tuvumiloane tu kosa tulilifanya pale kuambiwa mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie la kulia mtu huyo kuna siku atataka kukuchukulia shat umpe suruali yako
Kama hilo lingetumika kwenye siasa mpaka leo tungekuwa tuko chini ya utawala wa wakoloni.
Kwenye siasa mtu akikupiga shavu la kulia wewe unamkung'uta ngumi ya mdomo unamtoa meno yote ya sebuleni, hapo ndipo heshima itakuwepo.
Vinginevyo kuna siku atakuambia uvue boxer yako halafu.....!!!!!
 
Nasubiri pande ile ya Twita tutasoma mengi hivi punde
Kuna mtu ameanza kuonyesha hofu
Tuwe wavumilivu karibu KUNAKUCHA KUNAPAMBAZUKA
 
Kiongozi wa UVCCM Taifa H.James anasema tunawalea sana wapinzani, wapita njiani ,wanakwenda mahotelini na kupita mitaani huku vijana wa ccm wakiwa wanawaangalia tu.
Mwenyekiti UVCCM Kata ya Nsila anawataarifu polisi waache kuingilia pale vijana wa UVCCM wanapokua wanawapiga wapinzani... anaomba atacMwenyekiti Taifa ajue kua UVCCM watawaburuza na kuwavunja miguu.
RC Gambo wa Arusha anasimama hadharani nakusema vijana wa UVCCM tufanye fujo kwenye ofisi za CHADEMA maana mbunge sio wetu CCM.
Mbunge na Kada Bulembo anasimama Bungeni kabisa na kuagiza vijana kufanya mikakati ya kumuua Zitto.
Hizi zote ni jinai kabisa....sijui wametengeneza hao Upinzani au sio?
 
Fikra ulizoziweka hapa ni aina ya mambo ya kijinga kufikiri..picha ya wazi ya Chadema kufanyiana ubaya inaonekana tu,wao kua na cheo kwenye chama ni njia za kupata pesa na si kweli uchungu wa wananchi eti wanataka kwenda Ikulu kuwasaidia wananchi la hasha,kumtaka RAIS wa nchi atoe maelezo kulisemea kundi la kihuni hii ni udogo wa kufikiri na mihemko ya kisiasa juu ya chama unacho kipenda,mimi sina chama lakini uhalisia unaonekana,ninaona wazi kabisa RAIS na serikali yake wako busy kutekeleza mahitaji ya wananchi na wananchi walio wengi wameshamuamini sana na kweli anaweza,sasa ana shida gani ya kupambana na genge la kihuni?hao chadema ni wao ndo watakua wanajuana,wananchi wengi wanaiona picha ya wazi ila hutawaona humu Jf wala twitter maana humu tunaingia therusi ya wananchi wote,mwisho wa siku wananchi wanaoelewa na wasio ingia mitandaoni wanaenda kupiga kura ya ndiyo.
 
Trump akisema waafrika hawana akili huwa wanauana wao kwa wao wkigombea madaraka
 
Mimi simwamini jiwe hata kidogo, hao wengi labda wewe na familia yako [emoji809] I your fellow matanga
 
Tundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2018. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa!

Leo tena tarehe 9 Juni,2020 Mhe. Freeman Mbowe(MB , Mwenyekiti-CHADEMA) na Kiongozi- KUB Bungeni ameshambuliwa na WATU WASIOJULIKANA huko Dodoma. Watu hao walikuwa wakimwambia Mhe. Mbowe ati aache kumtukana Rais Magufuli!!

Kwa matukio haya mawili yaliyo walenga Wabunge na Viongozi Waandamizi wa CHADEMA na Viongozi wa KUB Bungeni inadhihirisha Serikali inajua kinachoendelea.

Rais Magufuli akiwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama anatakiwa Sasa aiambie dunia nini Kiko nyuma ya mashambulizi haya. Kuendelea kukaa kumya kwa Rais Magufuli inaonekana yeye ni SEHEMU ya njama hizi ovu. Tayari kuna madai watu waliomshambulia Mhe. Mbowe wamesikika wakimtaka Mbowe asiendelee kumtukana Rais Magufuli... !Je, anawatuma? Kama siyo yeye nani wanapanga huu upuuzi wa kuhatarisha amani ya Tanzania?
Huhitaji phd ya korosho kumjua mastermind wa haya matukio ya ajabu ajabu
 
Hakika msije washangaa Watanzania wenzenu siku kiongozi wenu akipasuliwa ubongo wao wakachekelea na kugonga glasi.
Mnauzi sana kwa ushabiki wa kijinga. Mbona wengine tukisikia kiongozi hata wa kata wa CCM kapigwa makofi kwa sababu za kisiasa tunachukizwa na kulaani kitendo hicho inakuwaje nyie farasi?
Sio siri mimi nitakuwa wa kwanza kusherekea kwa kununua kreti nzima ya kibanda
 
Mimi simwamini jiwe hata kidogo, hao wengi labda wewe na familia yako [emoji809] I your fellow matanga
Huwezi lazimisha hisia zako mbovu ziwe za wote,never!.. na ninyi ni kati ya watu wa aina tatu hapa nchini. vyeti feki,wanasiasa wenye ulafi na Ikulu kwa sababu ya matumbo yenu au mliotumbuliwa kwa sababu ya kuwaibia wananchi,sasa mna hasira na huyo Rais utadhani mliambiwa mnayo yafanya ni sahihi,mlizoea na kudhani maisha ndiyo hayo hayo miaka yote..ngoja mkome
 
Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
Hata kichaa hawezi kujikatakata mapanga kwa kutafuta huruma. Labda wewe mwenyewe. Kwa hilo uko sahihi.
 
Inayo onyesha shambulio hilo litakua limefanywa na wenyewe Chadema, ili kupata huruma ya Wananchi.
 
Back
Top Bottom