Rais Magufuli aivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala

Bakhresa anaishi wapi?
Diamond anaishi wapi?
Maraisi wastaafu wanaishi wapi?
Mwamunyange anaishi wapi?
Nyumba za mawaziri ziko wapi?
Mo anaishi wapi?
Acha ushabiki ilala ni ofisi tu Ila madoni wote makazi kinondoni
Madoni wanaishi Wilayani na siyo Jijini?
 
Hizi sarakasi ngoja tuone mwisho wake, Chanika ni Jiji, Mwenge, mikocheni, Masaki, Oysterbay ni Manispaa!

Hii move ina malengo fulani ya hovyo sana lakini mahesabu yake wameyakosea mno!
Uko mtupu mzee, hebu soma taratibu hapo juu au hujawahi kusafiri huko ulimwenguni
 
Hii elimu ya jiji,mji, manispaa na halmashauri mbona ilitolewa shule ya msingi

Ndio shida ya kusema logarithm ilikuwa inasaidia nini matokeo yake mnakuja kutusumbua
 
Kutetea hii kashfa labda ujing'oe ubongo
Kazi za Serikali
za Mitaa Sheria
ya 1984 Na.15
ib.20
146.-(1) Madhumuni ya kuwapo Serikali ya Mitaa ni
kupeleka madaraka kwa wananchi. Na vyombo vya Serikali za
Mitaa vitakuwa na haki na mamlaka ya kushiriki kuwashirikisha
wananchi katika mipango na shughuli za utekelezaji wa
maendeleo katika sehemu zao na nchini kote kwa jumla.
 
Alishawambia kuwa kwa sasa jiji ni Chato na Dodoma tu na atahakikisha Dar es Salaam unakuwa kama mikoa mingine tu.

Kwanza cha kujiuliza hivi kwa sasa tuna serikali za Mitaa? Kwa kawaida serikali za mitaa mwenye mamlaka nazo ni waziri mwenye dhamana wizara ya TAMISEMI amabyo inapaswa kuwa chini ya ofisi ya waziri Mkuu. Sasa hili la Kuichukua TAMISEMI na kuiweka ofisini kwa Rais siyo sawa hata kidogo. Ofisi ya Rais ni Serikali Kuu. Unaiwekaje ofisi inayoshughulika na Serikali za Mitaa ndani ya Mamlaka ya Serikali Kuu?
 
Pondaponda chupa unywe.

Meza sumu unywe.
 
Rais ana mamlaka kikatiba.hata Kama wangekuwepo ma meya kutoka opposition,katiba inamruhusu kutoa maamizi ikiwa ni ya dharula,au maslahi mapana kwa taifa.hivyo yuko sahh. ilala kuwa ni jiji nikwa maslahi mapana kwa mkoa wa dar.na viunga vyake.
 
Kwenye nchi za wenzetu mambo kama haya huwa yanapelekwa kwanza kwa wananchi wakayajadili halafu wakayapigie kura kabla ya serikali haijafanya uamuzi. Wakazi wenyewe ndiyo wanaamua kubadilisha status ya mji au sehemu yoyote wanayoishi kupitia kura za maoni au referendum. Sisi bado sana.
 
Watu wa Kawe hiyo ndiyo shukurani ya kumletea Gwaajimaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Mafuriko bye bye!
 
Alishawambia kuwa kwa sasa jiji ni Chato na Dodoma tu na atahakikisha Dar es Salaam unakuwa kama mikoa mingine tu.

Kwanza cha kujiuliza hivi kwa sasa tuna serikali za Mitaa? Kwa kawaida serikali za mitaa mwenye mamlaka nazo ni waziri mwenye dhamana wizara ya TAMISEMI amabyo inapaswa kuwa chini ya ofisi ya waziri Mkuu. Sasa hili la Kuichukua TAMISEMI na kuiweka ofisini kwa Rais siyo sawa hata kidogo. Ofisi ya Rais ni Serikali Kuu. Unaiwekaje ofisi inayoshughulika na Serikali za Mitaa ndani ya Mamlaka ya Serikali Kuu?
Hivi ujuaji huu unatija gani kwanini msiketi mkauliza
 
Back
Top Bottom