johariekessie
New Member
- Nov 19, 2020
- 2
- 3
Mbona huna fact mjombaTusipotezeane muda na wala tusibishe kwa hili Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli yupo sahihi kwani Ilala ndiyo Dar es Salaam na Tanzania vile vile. Na hata Watoto wa Mjini wote wapo Ilala na siyo Kwingineko ambako kumejaa tu Washamba na Malofa watupu japo wenyewe ( wao ) wanajiona Wajanja.