Kama faza ako alivyomtawala maza ako.Magufuli is a naive, corrupt and a bigot oppressor!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama faza ako alivyomtawala maza ako.Magufuli is a naive, corrupt and a bigot oppressor!!
Tena toa neno "kutawala". Wanatakiwa "kuongoza".Haiwezekani watu wote kwenye taifa kuwa watawala ama kutawala, ni lazima watawale wachache. Ila suala la wachache hao kutawala kwa maslahi yao hilo ni jambo jingine
Marekani anahangaika na corona kama mataifa yote mengine muda huu.Marekani ndo nani?
Yeye anaweza akajibu hoja zetu?
Yaani Marekani ndo kawa Mungu wenu?
Yeye ana utakatifu gani?
Hivi ukiongea masuala ya ukiukaji Haki za Binadamu, huyo Marekani anaweza hata kusogeza pua yake?
Anaweza hata kujilinganisha na Tanzania?
Akili za kitumwa hizo kamanda!
Mnajipendekeza hadi mnatia kichefuchefu.
kama umedhibiti madini mbona budget karibu zote za miaka mitano ya utawala wako zinatekelezwa chini ya asilimia 40% na mbona wafanyakazi hawajapandishwa mishahara kwa miaka mitano yako. kawadanganye vilaza wezako walio kuuzia PHD pale mlimani lakini sio watazania.Marekani haijamtuma mtu kuua watu kufunga watu na kuteka watu hapana, Marekani haijatuma mtu kuwashambulia watu kwa risasi hapana, Marekani haijamtuma kuzima vyombo vya habari na kuzuia siasa kwa wapinzani kwa miaka 5 hapana,
Kama serikali haijawatuma hao watu kwanini hafanyi upelelezi kuleta mlejesho? kwanini hawakamatwi watekaji? wauaji na wanaopiga risasi?
Eti hoja ni kwa vile kadhibiti madini yasiibiwe hoja ya kipumbavu kweli nawapa somo tu wafuasi mnaoamini izi propaganda kutoka Ikulu ya Magufuli, hakuna nchi iliyodhibiti rasilimali zake kama Botswana lakini huwezi sikia wanapambana na upinzani.
Na huwezi sikia Marekani ikiwanyoshea kidole halafu eti unasema umedhibiti madini yapi yale ya twiga 84/16 upo serious kweli? unachekesha kweli ! jibu hoja za Marekani.
Umeyakoroga mwenyewe yanywe mwenyewe hakuna atakayekubeba uvune ulichopanda nakuhakikishia uchomoki uchaguzi mwaka huu.
Ogopa mtu akienda msikitini anatawaza anaswali, akienda kanisa la Roma anasali na kupokea sakrament taktfu. Akienda kwa wasabato anasali, akienda kwa walokole, anapokea mafuta ya upako. Akienda kwa babu anakunywa kikombe. Na akienda kwa sangoma anapiga lamri. Ila kule kwa isangoma haendagi na makamera wakati ndyo imani yake kuu.Ogopa sana mtu anayekwenda madhabahuni kila siku na makamera halafu afanyayo ni tofauti na mafundisho ya Mungu.
Mtu huyo ni wa hatari maana hamuogopi hata mola kwani anamtapeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali dogo tu plz naomba jibu hivi Magu anawajibika kwa marekani hadi ajibu hoja zao?
kama umedhibiti madini mbona budget karibu zote za miaka mitano ya utawala wako zinatekelezwa chini ya asilimia 40% na mbona wafanyakazi hawajapandishwa mishahara kwa miaka mitano yako. kawadanganye vilaza wezako walio kuuzia PHD pale mlimani lakini sio watazania.
Mnatia kichefuchefu kumuona marekani kama ndo standard unit wa kulinda haki za binadamu wakati dunia nzima inajua the opposite is true.
Kauwa wangapi inocent kuliko hata Lisu?
Leo akikohoa tu mnakimbilia JF kuanzisha thread kama vile Mungu kakohoa?
Mengine mnajidharilisha tu makamanda.
Wala hujakosea... Yaani anaongoza nchi kwa staili zile zile!!
Upo sahihi mkuu, nami nashahihisha ya kuwa wanatakiwa kuongoza na sii kutawalaTena toa neno "kutawala". Wanatakiwa "kuongoza".
Huwezi dai haki kama hujui haki yako ni ipi, hivyo jambo la msingi ni kujua sheria inasemaje juu ya haki yakoHaki za Raia ni suala la msingi sana.