Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Ndalichako poa

Kwa Naibu wake, Eng. Stella Manynya, ameboronga. Pamoja na kuwa TAMISEMI hajui matatizo yanaoikabili Elimu.
Wizara hii haina wanasiasa wakongwe, japo Ndalichako anaweza kuwa na ushawishi kwenye Cabinet
 
Unataka ushahidi gani mtu mpaka alifukuzwa baada ya kubainika mbinu zake za kuwafelisha waislam. Maajabu ni kwamba bin Adam hawezi kubana mipango ya mwenyezi mungu.

Hii Kali..unataka kusema hamna wakristu waliofeli!!!
 
Huyu mama analalamikiwa kwa miaka 20,halafu anarudishwa palepale,ina maana hakuna wasomi wengine wa kukamata iyo nafasi?
 
Arudishe mitihani darasa la nne na kidato cha pili wastani angalau 30
 
Ni kweli kabisa, Maghembe has been a failure everywhere he goes!! Sijui nini kimemtuma kumchukua huyu bwana.

Tena wizara nyeti mama Mali asili! Si bora angempa ubunge kagasheki amrudishe hapo kuliko huyu failure!
 

Ndo hapa..kosa la system ya computer inamhusuje mama Ndalichako if not IT ishu..watu bwana
 
....siamoni kwamba Maghembe naye kakubali uteuzi huo. Ningekuwa mimi ningekataa.
 
Ni lini waislamu wamewahi kufaulu mitihani? Ninyi si mnakremu kiarabu feki cha kruani ? Endeleeni wenzenu wanatusua. Mtabakia kulalama na udini kusoma hamsomi.. Angalia orodha iliyotua kwa JPM ya wauza unga. Kisha nipe jibu kwann waislamu?

Uwiiiiiiiiiii
 
Hongera mama ndalichako bado una nafasi ukiamua sasa ya kutenganisha elimu na siasa uchwara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…