jd41
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,756
- 4,847
Waislam tumekwisha.
...nakupongeza kwani wewe ni miongoni mwa wachache wenye akili finyu jf.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waislam tumekwisha.
Mimi nimeangalia ITV toka habari inaanza mpaka sasa mbona sijaona hii kitu?
Kuna ITV tofauti na hii ya Mengi hapa Tanzania?
Na huyu Masauni sio yule mdanganya umri kweli?
huyu mama anachukia waislam balaaa
Wakuu kama tulivyoona mkuu kamteuwa Dr Ndalichako ambaye alikuwa katibu mkuu wa Necta baada ya kujiuzulu.
Ingawa haikuwekwa wazi, ila ni kweli Ndalichako alijiuzulu baada ya kukaidi kushusha grade za matokeo mwaka 2012 pale ilipo onekana wamefeli sana.
Hizi grade za mauwa za kumfurahisha Kikwete na kawambwa zimetuvunjia heshima mtaani.
Mtu Una B ya physics iliyokuwa inaanzia 64-75 lkn leo vitoto vya digitali akipata 50 nayo ni B afu analeta zarau.
Tunaomba Dr Ndalichako ufanye kile kinnachopaswa kufanywaa.
Rejesha heshima iliyopotea katika elimu.