Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

mods acheni tunataka rais akipita apate maoni yetu.
Mimi kama RAIA na kwa mujib wa katiba ya muungano naruhusiwa kutoa maoni yangu, pia Nina haki kuuungwa mkono kwa hoja yangu.

Mimi sikubaliani na uteuzi wa Joyce ndalichako kutokana namna alivofanya katika baraza la mitihani kwa kufelisha baadhi ya wanafunzi waliosoma Islamic knowledge iliopelekea kuundwa tume bayo hadi Leo hatukapata majibu take
" Mimi magufuli nitatenda haki, sitabagua MTU kutokana na chama chake,kabila lake,dini yke,ukanda wake"
sasa mimi kama mwananchi nakuletea malalamiko kwako mh rais juu ya uteuzi wa Joyce Ndalichako
 
Hii ndo inaitwa,shukrani ya punda ni mateke,,ha ha ha,subiri oktoba 2020
 
Mimi nimeangalia ITV toka habari inaanza mpaka sasa mbona sijaona hii kitu?
Kuna ITV tofauti na hii ya Mengi hapa Tanzania?

Duh pole,, utakuwa mtaalamu wa kuzungusha mikono wewe... Maana kawaida hamsikilizzagi habari ambazo hazina jina la lowassa,, mahaba niue...
 
Mi nimemwelewa JPM, kwa ajili ya kuharmonize mambo ulikuwa ni lazma apatikane MTU kutoka kaskazni especially Kilimanjaro so hakuwa na namna
 
Dr.Mpango mwaka wake huu.kapewa TRA hata mwezi hajamaliza kapewa fedha
 
Ndalichako ndiye mtu sahihi ktk wizara hiyo,big up mama
 
Hapa utapasi kwa jasho lako, kubebana bebana hamna! Mtoto aende kupata formal edication, masomo ya madrasa hayatapewa kipaumbele!
Kubali tu matokep, huyu mama ni jembe!
 
Ulitaka ateuliwa Mama yako ndo uridhike?
 

Asanteeeee...wabongo hatuelewagi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…