simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Yule mama aliyekuwa anatufelisha pale necta kapewa wizara.
Huyu mama analalamikiwa kwa miaka 20,halafu anarudishwa palepale,ina maana hakuna wasomi wengine wa kukamata iyo nafasi?
Mtaisoma number,na hivi ndalichako an
lazima atoke huyo mama hafai
Wewe ni nabii, mchawi, mnajimu, mganga ama?!
...huyo mama analalamikiwa na nani zaidi ya majungu; kama vipi ijumaa andamaneni baada ya sala yenu..
Prof Jumanne Maghembe.......... wrong choice..
Mtaisoma number,na hivi ndalichako an
lazima atoke huyo mama hafai
Hichi sio kipindi.cha jk,hatoki na majungu yenu...nyie kuleni mirungi mzani mtafaulu
Mtaisoma number,na hivi ndalichako an
lazima atoke huyo mama hafai
..utapasuka msamba bidada!
huyu mama ni jembe sana..sasa mujahidin watulie wamwache mama achape kazi cc@halfcast
Mwacheni magembe mbona kina muhongo na escrow wamepewa wizara.