Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Yule mama aliyekuwa anatufelisha pale necta kapewa wizara.

Uwongo siyo kitu kizuri. Huyo Mama mmoja aweze kufelisha waislamu wote?
Aisee tafuta namna ya kujieleza iwe na nafasi kwenye vichwa vya watu, Great thinkers!
 
Huyu mama analalamikiwa kwa miaka 20,halafu anarudishwa palepale,ina maana hakuna wasomi wengine wa kukamata iyo nafasi?

...huyo mama analalamikiwa na nani zaidi ya majungu; kama vipi ijumaa andamaneni baada ya sala yenu..
 
ndalichako..nimemtafunia sana binti yake pale udsm.hongera mama mzaa chema
 
Uteuzi wote kwa aliponifurahisha ni huyu ndalichako mama mchapakazi Mungu amuongoze kwenye kuongoza wizara ya elimu yenye mstakabali wa nchi.
 
Kiongozi makini, hufanya mambo yake kwa umakini zaidi.

Tumtie moyo anaonyesha dalili nzuri kuiokomboa jamii hasa walio masikini.
 
...huyo mama analalamikiwa na nani zaidi ya majungu; kama vipi ijumaa andamaneni baada ya sala yenu..

Na wewe ukiwa rais utateua unaona wafaa. Mwache Rais afanye kazi yake
 
Of all the 50mil Tanzanians Prof Maghembe ndo kaona anafaa utalii kweli.
Nimeamini Tatizo ni mfumo
 
Maghembe hamna kitu,kutoka kaskazini ndo kumemsaidia as Magu hakuwa na choice
 
Yeah, katika mawaziri wote wa Magufuli, naweza kumuamini huyu mama.
 
kwa maghembe nimekua disappointed sana, yani yule mzee ni mzigo ni kilaza hadi basi au amemchagua kwa sababu ya zile kelele za ukanda nini??
 
Back
Top Bottom