Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara


Kwa muono wangu wa harakaharaka mawaziri wa JPM wana power sio kama wa awamu iliopita ambapo makatibu wakuu ndio walikuwa na sauti.
 
Wengi wanamatumaini na wewe Mama Ndalichako, maana umeongelewa humu kabda ya uteuzi, na hii inatokana na utendaji wako ukipokuwa NECTA. Elimu yetu imeshuka sana hatutaki bora elimu, tunataka elimu bora. Vyuo vyetu vitoe wahitimu bora, Kuna mengi ya kufanya, Ila naona ilianza na swala LA kubadirisha mitaala itakayo leta tija na matokeo chanya "elimu bora" ambao ndiyo kiu ya wananchi.
 
mnafurahia kwa sababu yule mama ni mdini balaa, mnajua atakachowafanyia wanafunz wa kiislam
Uongo ni dhambi. Prof Ndalichako hana upendeleo wowote. Mme wake mislay yeye mkatoliki. Tusubiri maboresho katika elimu.
 
inajua maana ya Ordinary Level?
Elimu dunia inakupa hunia inakwendaje
ww unataka kusomea ukunga tu hata hujui Jua linatokea wapi au kwanini kuna masika, au kwanini gari linatembbea sembuse Meli kuelea na shilingi kuzama
Watoto wa leo wapate Elimu mpaka sayansi kimu wajue kuchemsha chai au kushona kifungo
Mama Ndalichako rudisha Elimu ya kujitegemea
 
Mtaumbuka nyie wanamajungu...ndalichako she is the best,hata kwa albadiri mlimshindwa

Atakuwa ametubu dhambi zake, maana ngazi aliachia mwenyewe. Ni heri iwe ametubu kiukweli lakini kama ametubu kiuongo-uongo ataumbuka tu kama alivyoumbuka Lowassa.
 
Nakerwa saana na usistaduu wa chuo!!
Degree za Chupi zinanikeraa!
wasomi wa zamani walosota hawana thamani now ukivua tuu Una A+
Upuuuuuuzi!
 
Prince K aibu dunia ya Leo unajadili ujinga huu shame on you watu wanamajina ya kikristu ila wanashinda kwa waganga na mizimu jitambue viongozi wengi ni washirikina
 
Hamadi Masauni alidanganya umri ikabidi ajiuzulu uvccm alafu hivi sasa anaonekana anafaa, siasa gani hizi!
Ila kwa Dk Mpango na Dk Ndalichako nahisi ni uteuzi mzuri
Hivi hawa si watu wa Kigoma? TRA amrudishe Bade, ni jembe la uhakika
 
Mimi ningekua waziri wa Elimu ningefuta mitihadi ya dini kuingia kwenye NECTA,hili ni jipu na siyo fare kuiweka mitihani hii kwenye calculation za NECTA.
Kama mnataka mitihani ya dini katungiene hiyo mitihani kwenye ma dini yenu.
 
JF ina nguvu sana. Inaweza kumuondoa mtu madarakani na kumuweka madarakani. Joyce Ndalichako ni zao la JF.
Mkuu Kigodoro! I concur. Joyce alikuwa chagua la wengi humu jf. Naona mheshimiwa huwa anapitia mdogo mdogo. Cha muhimu mapendekezo tunayotoa yawe na mantiki kama hili. Keep going our president! And long live jf!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…