barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hivi hii imekaaje!!! Siri za ikulu zinavuja kabla ya kutangazwa na wahusika!!!
Hakyanani kwa Magembe ndio kachemsha, huyo ni jipu
Hapa sawa UJENZ NANI
Mbona Makame Mbarawa tayari yeye ni waziri wa Maji na Umwagiliaji, inakuwaje tena awe waziri wa mawasiliano na uchukuzi?
Mmh hii kitu ni uongo kabisa.
Waislam tumekwisha.
huyu mama anachukia waislam balaaa