Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Nampenda sana huyu mama. Mungu amlinde.
 
Mbona Makame Mbarawa tayari yeye ni waziri wa Maji na Umwagiliaji, inakuwaje tena awe waziri wa mawasiliano na uchukuzi?
Mmh hii kitu ni uongo kabisa.
 
JF ina nguvu sana. Inaweza kumuondoa mtu madarakani na kumuweka madarakani. Joyce Ndalichako ni zao la JF.
 
ndio.nini.sasa mi.sielewi hapa

magembe waziri wa MALIASILI .

Dr.ndalichako waziri wa elimu
 
Huyu mama hana mchezo na elimu mambo ya form 2 mvuke tu pasipo kufaulu utasikia tu
 
Watu wamempigia debe mama Ndalichako hadi kapewa wizara.....!!!!
 
Mimi nimeangalia ITV toka habari inaanza mpaka sasa mbona sijaona hii kitu?
Kuna ITV tofauti na hii ya Mengi hapa Tanzania?
 
Kwa Dr Ndalichako mhe Rais uteuzi ulioufanya nakupatia 100% Elimu itaboreka
 
kumbe Raisi ni member wa jamiiforum maana tulisema sana na sasa amesikiliza
 
Wana JF wengi walimpigia debe huyu, lakini soon utaona critics zinavyomiminika
 
Back
Top Bottom