Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Mbona Makame Mbarawa tayari yeye ni waziri wa Maji na Umwagiliaji, inakuwaje tena awe waziri wa mawasiliano na uchukuzi?
Mmh hii kitu ni uongo kabisa.

Ni kweli imetangazwa kuwa kahamishwa wizara aliyokuwa mwanzo
 
Halafu mbona Magufuli alisema nafasi zilizobaki ni nne tu, ila hii taarifa hapa inaonyesha ni watano mpaka Sita?
 
Ndalichako aache kuleta uroma na udini uliopindukia wizarani,vinginevyo anataaluma nzuri.

Jicho la Waislaam linamfuatilia hasa kipindi hiki ambacho Ponda Issa Ponda yupo huru.
 
Hao ndio wateule wa mwisho wa Rais
 

Attachments

  • 1450891135413.jpg
    1450891135413.jpg
    53 KB · Views: 1,083
nmefrai sana.....mm ukawa damu ila kwa Hili CCM wanaenda pazuri zaidi. Heshima Rais wangu magufuli.
 
Unajidanganya hadi wewe mwenyewe. Prof Makame Mbalawa alishachaguliwa kuwa waziri wa maji na umwagiliaji halfu wewe unasema amemteua kuwa waziri wa uchukuzi. Mmmmhh!! Jiangalie wewe

JF watu wana ubishi mweeee......
Mkuu kwani hawezi kuhamishwa??
 
Maghembe na Makame hamna Kitu,Prof Ndalichako yupo vizuri.
 
Unajidanganya hadi wewe mwenyewe. Prof Makame Mbalawa alishachaguliwa kuwa waziri wa maji na umwagiliaji halfu wewe unasema amemteua kuwa waziri wa uchukuzi. Mmmmhh!! Jiangalie wewe

Mkuu upo mbali na vyombo vya habari?? Taarifa aliyotoa jamaa ni ya kweli kabisa imetangazwa rasmi. Mbalawa kahamishwa kutoka wizara hiyo ya umwagiliaji hadi ya uchukuzi
 
Maghembe !!!!!!! Dah kweli nimeamini CCM ni hile hile.Ukawa twende vijijini tulikomboe taifa.Hamna kitu hapa.

Nimeona wakina simbachawene,Jafo etc ni kama wamepewa wizara ambazo hawazitaki basi,wanajikongoja tu ilimradi waitwe mawaziri.

Kazi kweli kweli!!!!
 
Back
Top Bottom