Ushahidi tafadhali
Mhhh mkuu... why unasema hivyo
huyu mama anachukia waislam balaaa
mwisho wa big result na mwsho wa madistinction haaaa
Omba msamaha kwa mleta mada...umeumbuka mkuu.
Wewe ni mdini kafie mbele huko. Leta ushahidi wa unachokiandika. Waislam wana nn cha ajabu. Huna point kalale mdini wewe