Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Hongera sana Dk.Ndalichako na aksante sana Raid wangu Dk.Magufuli kwa kusikia ombi letu Mungu akujalie uzima na mwingi wa busata
 
Ni wakati muhimu sasa wa kubadilisha katiba yetu..hasa uteuzi wa baraza la mawaziri. mh. Rais anapata shida sana kuunda baraza lake. Wabunge msaidieni Mh. Rais.
 
Nafikiri amesikiliza maoni ya watu angalau hii wizara ina chembechembe za kimuungano kidogo kwa baadhi ya taasisi zake.
 
Mama yuko vizuri sana. Anza kutumbua jipu pale NECTA. Ondoa yule mwanafunzi wako Msonde. Hawezi kazi. Tupa kuleeeee.
 
Hiyo hapo
 

Attachments

  • 1450891804976.jpg
    1450891804976.jpg
    43 KB · Views: 1,016
Mkuu unatisha,ulikaa na peni na karatasi kabisa.ulijua nini?
 
Wasiemtaka kaja,nampongeza rais kumteua Ndalichako hakika ni mtu sahihi ktk wizara ya elimu
 
...uteuzi huu mzuri sana maana at least ameweka wasomi makini kwa fani zao...huu ndio uteuzi wa JPM mwenyewe bila shinikizo la CC ya ccm....i wish angefanya hivi kwa lile baraza la mwanzo....mtaona kabisa JPM alikurupuka kwenye lile baraza la mwanzo....ndio mana leo amemwamisha Prof. Makame Mbarawa kwenda wizara ya mawasiliano (fani yake)...na kumtoa kutoka wizara ya maji..ambayo amempa eng.....uteuzi makini huu....
 
Wewe ni mdini kafie mbele huko. Leta ushahidi wa unachokiandika. Waislam wana nn cha ajabu. Huna point kalale mdini wewe

Unataka ushahidi gani mtu mpaka alifukuzwa baada ya kubainika mbinu zake za kuwafelisha waislam. Maajabu ni kwamba bin Adam hawezi kubana mipango ya mwenyezi mungu.
 
alitaka kubalance kaskazini kwani mlilalamika sana.ila najua interest ya magufuri ni hao manaibu kwanza wapate uzoefu
 
Back
Top Bottom