Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Da nimeamini Magufuli anasikiliza maoni ya raia wa chini maana Dr. Ndalichako amezungumzwa sana hapa
 
Du magembe tena ktk wale mawaziri mizigo wa jk, kamrudisha tena ktk wizara hiyo yenye matatzo lukuki!Kweli ccm ni ile ile
 
Ndalichako aache kuleta uroma na udini uliopindukia wizarani,vinginevyo anataaluma nzuri.

Jicho la Waislaam linamfuatilia hasa kipindi hiki ambacho Ponda Issa Ponda yupo huru.

hapo kwa ponda nimecheka sna we mkali
 
Hawezi kufit, labda tu awe mwadirifu asipige dili!! Ila kasi ya ujenzi itapungua sana
 
Kama hamisha hamisha imeanza kabla hata ya mwezi mmoja tegemea baraza kuvunjwa punde si punde
 
Nilitaka kushangaa kama JPM angemtosa jumla jumla Eng: G lwinga ambae alikuwa naibu wake ujenzi kwenye serikali ya ilopita,yote kwa yote CCM ni ile ile CC Maghembe!!!
 
Baada ya kupigwa fitna sana na viongozi wa awamu ya nne ili akubali kushusha grade za elimu nchini na mama Joyce Ndarichako kugoma katakata, uongozi wa juu wa nchi ukaamua kumuondoa ili 'wabake' elimu yetu.

Hongera Mh. Rais Magufuli kwa kumuona huyu mama bingwa wa masuala ya elimu ili atusaidie kutumbua jipu la elimu Tanzania.

Mh Rais mpe uhuru na ushirikiano huyu mama anyooshe elimu ya Tanzania.
 
Nilikua naangalia TBC, ndo kaanza kutaja tu...Tanesco wakafanya yao. Alompata kwa ufasaha atujuze tafadhali.
Natanguliza shukrani.
 
Huyu makame mbalawa ana mzizi asee,yaani huwa hakosi,halafu hata hajulikani
 
Back
Top Bottom