Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Naona ume-mention ID yangu kulikoni?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona ume-mention ID yangu kulikoni?
Na wewe ukiwa rais utateua unaona wafaa. Mwache Rais afanye kazi yake
Mi nimemwelewa JPM, kwa ajili ya kuharmonize mambo ulikuwa ni lazma apatikane MTU kutoka kaskazni especially Kilimanjaro so hakuwa na namna
Uwongo siyo kitu kizuri. Huyo Mama mmoja aweze kufelisha waislamu wote?
Aisee tafuta namna ya kujieleza iwe na nafasi kwenye vichwa vya watu, Great thinkers!
...huyo mama analalamikiwa na nani zaidi ya majungu; kama vipi ijumaa andamaneni baada ya sala yenu..
Hakyanani kwa Magembe ndio kachemsha, huyo ni jipu
huyu mama ni jembe sana..sasa mujahidin watulie wamwache mama achape kazi cc@halfcast
prof muhongo ana record nzuri ya utendaji lakini prof maghembe sijui labda niwe nimesahau..
Maghembe hamna kitu,kutoka kaskazini ndo kumemsaidia as Magu hakuwa na choice
..fausta; mimi sina shida na uteuzi wa Rais, wenye hiyo shida ni wengine..
ndalichako..nimemtafunia sana binti yake pale udsm.hongera mama mzaa chema
Mhongo anatuhumiwa kwa ufisadi mkubwa ingekuwa nchi nyingine asingepata uwaziri double standard kwa baadhi ya watu. Ccm hakuna msafi ka ni wagonjwa wote mahutihuti tu