Rais Magufuli akijibu maswali haya atakuwa Rais bora wa Afrika wa karne ya 21

Cha kuzingatia kama msaada kwenye dimbwi la mateso lililomo ndani ya
jumuiya ya watu wa maneno mengi yasiyo na vitendo vya kujikwamua ni MUDA tu.
 
Kwani Libya ilikuwa haina maendeleo wakati canali Muhammar Gadhafi anapinduliwa? Kuna vigezo lukuki.
Kwani Nani rais Bora Africa?
Iliyopinduliwa sio Libya pekee kumbuka hilo ila ni nchi zote za kiarabu zilizoko Afrika zilipinduliwa na wazungu kwenye kinachoitwa Arab Spring .Yalikuwa mapinduzi yaliyosimamiwa na mataifa ya ulaya na marekani na vifaa vyote vya kivita walitoa wao na kupigana wao

Kaulize hata kesho wananchi wa Libya wanamtaka Gadafi wao .Maisha yao kwa sasa ni magumu mno
 
Nawasalimu wanabodi!

Tunaposema haya si kwamba tunamchukia Rais wetu, hapana. Tunampenda sana. Tunampenda afanikiwe maana akifanikiwa Taifa limefanikiwa kwa ujumla. Hivyo basi, hata wapambe wake wajue hivyo...
Huwa najiuliza na sipatigi jibu, ni nani aliyependekezwa magu apitishwe kuwa rais? Kiuhalisia hana sifa ya kuwa rais na huenda ana tatizo kubwa linalohitaji matibabu ya haraka kabla hajaliangamiza kabisa taifa letu
 
Muulize Lissu alivaa barakoa mengi ni maswali ya kipuuzi ngazi ya chadema!
Amuulize na Lema kwa nini atoke nchi ya wasiova barakoa aende nchi yene barakoa mcheki hapo ba familia yake wakiwa ndani ya barakoa nchi za watu




hapa chini Ni Lisu akiwa ubelgiji

 
Kwahiyo majirani zangu wote wakiwa na malaria na Mimi ni lazima niwe na malaria?
Uchanga Wa kufikiri
Wekeni vipimo watu wapimwe na wapewe majibu, wagonjwa watibiwe pia kuwe na takwimu za wagonjwa wapyakila siku.
 
Hata ma CCM mnaweza kumsaidia kujibu maswali mwenyekiti wenu wa chama
 
Huu uzi una mambo mazito. Ngoja tuone mwisho wake.
 
Kwahiyo majirani zangu wote wakiwa na malaria na Mimi ni lazima niwe na malaria?
Uchanga Wa kufikiri
Inafurahisha. Eti virusi vya CORONA viruka weeeee lakini vikifika Namanga, Sirare, Rombo nakadhalika vinakufa. Havivuki mpaka wa Tanzania. Na ukiwa na Corona ukiingia tu Tanzania unapona. Mi nadhani Ulaya wahamie tu Bongo watapona wote. Nchi ya matahira!
 
Huwa najiuliza na sipatigi jibu, ni nani aliyependekezwa magu apitishwe kuwa rais? Kiuhalisia hana sifa ya kuwa rais na huenda ana tatizo kubwa linalohitaji matibabu ya haraka kabla hajaliangamiza kabisa taifa letu
Mzee Mkapa, Othman Rashid, Philip Mangula na Polycarp Pengo. Usiniulize Pengo ameingiaje. Ni uzi unaojitegemea.
 
Je, kuna watu wanaokufa kwa Corona nchini Tanzania?
Oxygen ya Tanzania ni tofauti na nchi zote jirani pamoja na kwamba ambulance zinapishana kama daladala mitaani. Saa chache zijazo naenda kumzika mtu aliyekufa kwa approved covid-19.
 
Oxygen ya Tanzania ni tofauti na nchi zote jirani pamoja na kwamba ambulance zinapishana kama daladala mitaani. Saa chache zijazo naenda kumzika mtu aliyekufa kwa approved covid-19.
Poleni sana kwa msiba,chukueni tahadhari
 
Maswali yote ni stress za maishaa yako na bado hadi mtunge mashairi
Swali la nyongeza: Rais wangu hivi wewe kweli una tabia ya kufumua marinda vijana wadogo kama huyu cheguevara, makonda na ali hapi?
 
Yote uliondika ni sahihi na ni ndio.

Ndio maana yakafanyikaa.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…