Rais Magufuli akijibu maswali haya atakuwa Rais bora wa Afrika wa karne ya 21

Muulize Lissu alivaa barakoa mengi ni maswali ya kipuuzi ngazi ya chadema!
Empty head tabulalasa za Lumumba zimefika ona majibu yao sasa kwa maswali magumu , Zanzimana mwenyewe a.k.a Jiwe hana uwezo wa kuyajibu .
 
Raisi bora iwe Afrika au popote duniani hapimwi kwa uwezo wa kujibu maswali hupimwa kwa uwezo wa kuletea wananchi maendeleo yanayoonekana

Kazi ya uraisi sio kujibu maswali
Empty set ya Lumumba maskini , ona inavyohangaika kujibu ,Jiwe a .k.a Zanzimana hana uwezo wa kujibu haya maswali sembuse we kibaraka wake .
 
Huwa najiuliza na sipatigi jibu, ni nani aliyependekezwa magu apitishwe kuwa rais? Kiuhalisia hana sifa ya kuwa rais na huenda ana tatizo kubwa linalohitaji matibabu ya haraka kabla hajaliangamiza kabisa taifa letu
My daughter's sacrifice made me a president .
 
Kuanzia S.12 hadi la mwisho ni lazima yatakuwa yasomeka moyoni mwake kama vile herufi zake zimeumbwa kwa msumari wa moto.
 
Oxygen ya Tanzania ni tofauti na nchi zote jirani pamoja na kwamba ambulance zinapishana kama daladala mitaani. Saa chache zijazo naenda kumzika mtu aliyekufa kwa approved covid-19.
Unaliwa kweli wewe hivi mtu mwenye covid anaruhusiwa kuzikwa hata kuagwa tu na watu hao ndugu zake wenyewe hawaruhusiwi kumuona,ukitaka kujua corona haipo au ipo lakini haituadhiri angalia ukali wa uo ugonjwa,angalia maisha yetu tangu miezi miwili iliyopita,
Usiwe mbumbumbu hao madokta ma nurse hawachukui tahadhari yoyote na wao wapo jikoni unafikiri corona kama ingekuepo ingekua na huruma kiasi gani?
 

Matahira ni wewe Na ukoo wako, shwaini!
 
Swali la nyongeza, hivi Rais unaamini kabisa kuwa Tanzania hakuna COVID licha ya majirani zetu wote kusumbuliwa na hili tatizo?
Askofu Bagonza ameshamwambia kuwa Tanzania siyo makao makuu ya Mungu. Asijilimbikie dhambi ya kufuru eti maombi yake yamefukuza corona. Kwani nchi jirani hawasali?
 
Askofu Bagonza ameshamwambia kuwa Tanzania siyo makao makuu ya Mungu. Asijilimbikie dhambi ya kufuru eti maombi yake yamefukuza corona. Kwani nchi jirani hawasali?
Kwani huyo Askofu Bagonza ndio msemaji mkuu wa Mungu!?
πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Mwambieni kama alishindwa kumzuia Magufuli kuwa rais akae kwa kutulia kwani Mungu aliona Magufuli anafaa kuliko hao waliowataka wao

Huu sio muda wa maneno, ni muda wa kutii mamlaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…