Rais Magufuli akijibu maswali haya atakuwa Rais bora wa Afrika wa karne ya 21

Raisi bora iwe Afrika au popote duniani hapimwi kwa uwezo wa kujibu maswali hupimwa kwa uwezo wa kuletea wananchi maendeleo yanayoonekana

Kazi ya uraisi sio kujibu maswali
Kufikiria kuna mtu anaweza kuletea wananchi maendeleo ni ndoto, kinachotakiwa ni kuweka mazingira mazuri ya wananchi kujiletea maendeleo. Je mazingira ya wananchi kujiletea maendeleo yemeimarika katika awamu hii?
 
Ubarikiwe sana mleta thread, huu ni uzi wa mwaka.
 
Maswali kuhusu lisu Ben azory yanamuondolea sifa ya kuwa mkatoliki mzuri na kumfanya aache legacy yenye doa akistahafu damu zile zitaendelea kumuuliza tulikukosea Nini?
Inamaana wale watoto na mama yao wanaishije?
Mungu awape uvumilivu.
 


Wewe Sio bure bali umetumwa na Mabeberu kukwamisha juhudi.

""-------Au nasema uongo ndugu zangu??!! tupo vitani na vita vya kiuchumi ni vita mbaya sana 🤣.

Katika vita anapotokea nyoka 'unamuua' tu na unaendelea na vita.------""🤣

Ni mi✊🏻 tena. Punda afe lakini mzigo wa bwana ufike.

We are searching for a LEGACY.

🤣🤣🤣🔫🔫🔫 hii nchi ilikuwa imepinda na inanyooshwa bila ganzi.
 
UPUUZI MTUPU! Jisemee mwenyewe. Nani aliyekudanganya jiwe anapendwa sana!? Acha kuropoka upumbavu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…