Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hayahitaji presha mzee kaikimbia corona kimtindo anakula bata tu hukoBig up Mr president, Haya maisha hayahitaji pressureView attachment 1397195
Sent using Jamii Forums mobile app
2020 hakuna shujaa mwingine zaidi ya huyuBig up Mr president, Haya maisha hayahitaji pressureView attachment 1397195
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji1][emoji1] mzee shkamoo, naona umetukimbia dar baba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio uwezo wako wakufikiri ulipoishia,hapo umeona anakula bata hapo?Waziri mkuu wa australia almanusura wananchi wamtumbue kisa picha yake ya vacation wakati nchi inahangaika na janga la moto mwezi december mwaka jana, sasa leo hii kuna janga la kidunia mtu anapost picha akiwa amelala kwenye mawe akipunga upepo hii haileti picha nzuri, kuna muda napata feeling huenda kuna watu wanafanya sabotage bila mzee baba kujielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app