Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 2,026
- 4,450
KIKWETE, ameunganisha hii nchi kwa barabara, wakati ule tulikuwa tunalazimika kupitia KENYA kwenda mikoa ya kanda ya Ziwa.
KIKWETE
MTWARA - SONGEA - NJOMBE - MBEYA - IRINGA - MOROGORO - PWANI - DAR ES SALAAM - LINDI.
MTWARA - LINDI - DAR ES SALAAM - PWANI - TANGA - KILIMANJARO - ARUSHA - MARA - MWANZA.
Kila eneo la nchi hii linafikika.
Magu ameshindwa hata kuwapa Lami wenzetu wa KIGOMA badala yake akajenga uwanja wa ndege kwao.
Magufuli amejenga vitu ambavyo wachache vina manufaa kwao. Alijikita sana DAR, DOM, MWANZA.
Kuna muda unaweza ukajiona unajua sana, kumbe haujui kitu. Ni story tu za vijiweni plus udaku then unakuja nazo hapa JF, kumbe wewe ni mjuzi wa siasa uchwara.
Tusiongee sana weka proof hapa JF tupunguze maneno mengi. Kwa maana hata imani bila matendo ni zero tu.
Tusiongee sana weka proof hapa JF tupunguze maneno mengi. Kwa maana hata imani bila matendo ni zero tu.