Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Waziri mkuu wa Australia almanusura wananchi wamtumbue kisa picha yake ya vacation wakati nchi inahangaika na janga la moto mwezi december mwaka jana, sasa leo hii kuna janga la kidunia mtu anapost picha akiwa amelala kwenye mawe akipunga upepo hii haileti picha nzuri, kuna muda napata feeling huenda kuna watu wanafanya sabotage bila mzee baba kujielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna muda yakupasa kukaa kimya na kusoma watu walichoandika

Hivi wewe una uchungu na mtu mwingine kuliko wazazi wako

Rais ni taasisi sio mtu, Akiwa Dodoma sema taasisi ipo Dodoma,

Hata mawasiliano ya taasisi yanasema kurugenzi ya Ikulu

Mkuu wapi uliona barua zinaandikwa "Rais Magufuli" zinaandikwa kurugenzi ya mawasiliano Ikulu kama taasisi

Mtakuja kufa kwa kujaza chuki vifuani, Wewe ni moja ya watu mnaoitafuta presha kwa kujaa chuki
[emoji23][emoji23][emoji1][emoji1] mzee shkamoo, naona umetukimbia dar baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio uwezo wako wakufikiri ulipoishia,hapo umeona anakula bata hapo?
 
Bahahahaha ndio maana anang'ang'ania Magogoni kwa hiyo hapo ndio Beach?😝😝

Kuna mijusi kisukuma wanaitwa Magomamli kwa watu wengine wanawaita mijusi kafiri inapenda sana kukaa kwenye hayo mawe ajiangalie
 
Sidhani kama unaelewa maana ya corona mkuu

Mkuu corona ipo miaka mingi sana, Ila kuna aina tofauti tofauti kama Sars na kadhalika

Hii ya mwaka huu ni Covid 2019, Sasa atakimbiaje corona ambayo ipo miaka kibao

Sema anakimbia corona virus disease 2019 utaeleweka
mzee kama kaikimbia korona[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…